Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,437
Basi huyo anakupenda km rafiki tu, wapo wanaume wa hivyoHivi nyinyi mnafikiri mimi nimetoka chekechea jana? Mpaka nimeanzisha uzi mbinu zote zimeshindikana na jamaa bado mshiji kwa sana tu.
Basi huyo anakupenda km rafiki tu, wapo wanaume wa hivyoHivi nyinyi mnafikiri mimi nimetoka chekechea jana? Mpaka nimeanzisha uzi mbinu zote zimeshindikana na jamaa bado mshiji kwa sana tu.
Mtani jamani, kwani ukitoa lazima utegemee kupokea? Si unatoa tu.Utongozwe mara ngapi?Nothing goes for nothing. Kwa hayo yote mjibu i love you too
Huyo binti amesha ambiwa kwa vitendo anapendwa bado yeye kuonesha kwa vitendo anampenda jamaa! Teh Teh au jamaa anasubiri aoteshwe?Mtani jamani, kwani ukitoa lazima utegemee kupokea? Si unatoa tu.
Basi huyo anakupenda km rafiki tu, wapo wanaume wa hivyo
Wewe ni binti jasiri mwambie unampenda.. Take riskNingeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
Mmmmh! Kumfungukia mwanaume! Never.Huyo binti amesha ambiwa kwa vitendo anapendwa bado yeye kuonesha kwa vitendo anampenda jamaa! Teh Teh au jamaa anasubiri aoteshwe?
Akiona jamaa anachelewa amfungukie tuu yaishe....
Wallah hili nitatimiza. Na mchanga nmelambaHahahaaa! Ahadi zako huwa hazitimii tatizo!
Sidanganyiki, ngoja nipo hapa na kaka mpendwa namhoji kwanza swaga zake nione km zinarandana na zakoWallah hili nitatimiza. Na mchanga nmelamba
Swaga zangu zinarandana na yeyote bana. Hebu fanya himaSidanganyiki, ngoja nipo hapa na kaka mpendwa namhoji kwanza swaga zake nione km zinarandana na zako
Hapana kwa huyu zako zimegoma.Swaga zangu zinarandana na yeyote bana. Hebu fanya hima
Zinagomaje sasa tena! Kwani hujui mie mlokole? Tena huyo tunaendana sana tu na maongezi yale ya kipendwa pendwaHapana kwa huyu zako zimegoma.
Aiseee!Zinagomaje sasa tena! Kwani hujui mie mlokole? Tena huyo tunaendana sana tu na maongezi yale ya kipendwa pendwa
Mtongoze wewe ujue mbivi na mbichi....Sasa naanzaje kupigwa dudu km mpiga dudu mwenyewe hajajisoma?
Afu jamaa yako kaniuliza swali la kiajabu nimebaki kukodoa tuAiseee!
Swali gani?Afu jamaa yako kaniuliza swali la kiajabu nimebaki kukodoa tu
Vijambo gani?
Mmmm!Zinagomaje sasa tena! Kwani hujui mie mlokole? Tena huyo tunaendana sana tu na maongezi yale ya kipendwa pendwa
Ngoja nije kuleSwali gani?
Sa si uache ufate mambo mengine?Hivi nyinyi mnafikiri mimi nimetoka chekechea jana? Mpaka nimeanzisha uzi mbinu zote zimeshindikana na jamaa bado mshiji kwa sana tu.