Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Vipi mkuuMmmm!
Vipi mkuuMmmm!
Nimependa km na we ni mlokole mpendwa mwenzangu twende pmVipi mkuu
Tuongee tu hapahapa mpendwaNimependa km na we ni mlokole mpendwa mwenzangu twende pm
Hapa tutawabugudhi wasio walokole mpendwaTuongee tu hapahapa mpendwa
Ndo vizuri ili tuwaangazie nuru nao watoke gizaniHapa tutawabugudhi wasio walokole mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaaaahh!!! Mkuu!!Mbake Basi!
Aisee ngumu kumesa, siwezi.Mtongoze wewe ujue mbivi na mbichi....
Huyo anahitaji urafiki tu, angekuwa na nia nyingine mbona tayari zamaniii walaa usingeanzisha uzi, au uzi ungekuwa "alipokuwa rafiki yangu alinijali sana,ila sasa baada ya kuwa wapenzi simuelewi"Marafiki zake wote wanaona tunatania ila tumefika mbali zaidi ya hapo, kwakweli anaejuja hali ilivyo ni mimi na yeye tu.
Hahaha in a way, no hurt feelings.Huyo anahitaji urafiki tu, angekuwa na nia nyingine mbona tayari zamaniii walaa usingeanzisha uzi, au uzi ungekuwa "alipokuwa rafiki yangu alinijali sana,ila sasa baada ya kuwa wapenzi simuelewi"
Ndio uje huku mpendwa tupange kbs ht namna ya kuwatoa gizani hawa viumbe tuandae na somo hukuhuku na wngn wana mapepo tupange namna ya kuyatoa atiNdo vizuri ili tuwaangazie nuru nao watoke gizani
Kwahyo una hamu ya kutongozwa na huyo jamaa?Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Sasa mpendwa tunaanza na mstari gani?Ndio uje huku mpendwa tupange kbs ht namna ya kuwatoa gizani hawa viumbe tuandae na somo hukuhuku na wngn wana mapepo tupange namna ya kuyatoa ati
Ha ha ha baada ya kufanya yake hajali tenaHuyo anahitaji urafiki tu, angekuwa na nia nyingine mbona tayari zamaniii walaa usingeanzisha uzi, au uzi ungekuwa "alipokuwa rafiki yangu alinijali sana,ila sasa baada ya kuwa wapenzi simuelewi"
Yaani haya mambo we acha tuHa ha ha baada ya kufanya yake hajali tena