Simulizi: Soka Lilivyonikutanisha Na Shetani

Simulizi: Soka Lilivyonikutanisha Na Shetani

Muda wa kwenda Tabora huu kumsaka Lawalawa, shombe shombe huyo atakuwa hana wa kumfariji sasa...
 
SHUKRAN ...Shunie...
ni nzuri sana...na inafunza..huko upande wa giza sio kwema ...
 
Alirudi Yemen...

Malizia basi ile nyingine kipenzi
Ile nyingine babe unafikili mimi ndio mwenye shida mtunzi bado hajapost kasema yupo busy kidogo lakini tutaendelea nayo
 
Nimeiona hii simulizi saa moja na nusu hivi jioni hii nimekomaa nayo till now ndo nimeimaliza, hongera kwa mtunzi simulizi yake imejaa mafunzo mengi sana ila kubwa ni kwamba hata siku moja hakuna nguvu ya giza inaweza kukupa furaha ya kudumu wala kumshinda Mungu, asante pia kwako madam Shunie kwa kuipost humu ndani, kama sisi tu wasomaji imekula muda wetu bila shaka kwako ilikua zaidi.. Be blessed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom