Shunie asante sana nmeipenda sana hii simuliziHahahahaha imeisha bwana halafu mbona imeisha vizuri tu
Hapo umenena nilikuwa nimepasahauKosa ni kosa hakuna dogo wala kubwa... kwa jinsi alivyokua anamfanyia mwanamke mwenzake...
Mke wa Ajibu anakuja kudai pesa zake alizomkopea mume wake, lawalawa anampa kwa nyodo kabisa na masimango...
Cc: mahondaw
Kosa ni kosa hakuna dogo wala kubwa... kwa jinsi alivyokua anamfanyia mwanamke mwenzake...
Mke wa Ajibu anakuja kudai pesa zake alizomkopea mume wake, lawalawa anampa kwa nyodo kabisa na masimango...
Cc: mahondaw
Lakini haikuwa akili yake mkuu si alifanyiwa ndumbaHata kitendo cha kufanya matusi na mtu ambae siyo wako, huku ukijua huyo mtu ana mtu wake na mpaka ukamfahamu huyo mtu wake ni kosa pia...
Cc: mahondaw
Ahsante Shunie simulizi nzuri sana na inatufundisha kuwa uchawi haujawahi kumsaidia mtu hata siku moja, alipewa kipaji na Mungu akaamua kumkosea amepat alichostahili kupata
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana shunie