Inafundisha sana moneytalk pita hapa mamaaaSehemu ya 99
Wazazi kutotambua kipaji cha mtoto na kusimamia ndoto zake ipasavyo ni matokeo ya kuvurugikiwa maishani ni kama tu mtoto huyo ataamua kupuyanga peke yake kuzikimbilia ndoto zake. Soka la ushirikina lilinikutanisha na shetani, dunia yangu ya soka ikavurugika, maisha nayo yakanichapa. Hadi sasa ninaposimulia mkasa huu naishi kwa mateso kutokana na uchawi niliojihusisha nao maishani. ****
Nakushukuru kwa kuchukua muda wako kusoma mkasa huu wa kweli, ninapoweka kalamu chini naamini kuna mengi umejifunza kupitia simulizi hii ya kweli.
Mwisho..
Ahsante kwa muda wako.
Mie nlikuwa bado nmeanza jana leo nmeimalizaasante best kwakunikumbuka,huku nilipita enzi nikiwa kijana
ziko nyingi sana utaenjoy kama hukuzisomaMie nlikuwa bado nmeanza jana leo nmeimaliza
nitag kwenye nyingne bas besy yanguziko nyingi sana utaenjoy kama hukuzisoma
kwani hata nazikumbuka basi,nizamika mingi pengine ulikuwa hata hujazaliwa[emoji38]nitag kwenye nyingne bas besy yangu
Ha haaaaa utani sasa huo bebkwani hata nazikumbuka basi,nizamika mingi pengine ulikuwa hata hujazaliwa[emoji38]
nikwelHa haaaaa utani sasa huo beb