Vip dear!!Na umeshamaliza zote
kaleta kujua jua😀😁😀😁
Aah scailaaa eti kaleta shobo na Mimi naruka naye
Ila hizi simu hizi ukizifuatilia unakufa Kwa presha


mimi ni mpauko kama nilivyo
Hivi umebadili I'd katavi au ww mwingine jamani
Mimi mzima kabisa hofu ni kwako tuPoa mzima ww
Asante kwa simulizi nzuriPoa mzima ww
Cheka tu sister life lenyewe ili siku izi halina warrant... Acha tuone nyemo na scaila wake ila na nyie wadada hamridhikiHahahahahah nimecheka