Simulizi: Scaila Michael

Simulizi: Scaila Michael

Ngoma inogile.... isije kua Hiza nae alishamchukuaga Scaila club akalala nae!!?
 
Nyemo ana moyo aisee, ushaona hayo whatsap na bado una pretend like hakuna kitu eti unakusanya ushahidi wa kupeleka wapi sasa,

Kick that b.i.t.c.h out of your life you fool.
 
Jaman nyie mapenz acheni hasa mtu akipenda,, unamkamata mtu na kosa lakini bado unahis si kosa kubwa la kumuacha,

ni sawa na mtu mlaf akikutana na samaki aliechacha, atasumbuka kumkamulia limao ndimu na viungo kibao, ili kukata shombo, ila mwisho wa siku ukweli unabaki kua samaki kachina,

Tatizo la moyo ukitaka kitu unataka kweli, ubongo hauna nguvu mbele ya moyo
 
Sio boya apo moyo ndo unaendesha ubongo, ameuruhusu moyo utawale katika ku judge mambo na s akili, na moyo unanguvu kuliko ubongo
Sasa apo alitakiwa kutumia akili na sio moyo tena..unatumi0aje moyo kwa samaki changu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom