Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

Sana tu Shunie, sana tu. Hivyo hivyo kila siku. Kintu mzuri sana iko nasisimua mishipa.
 
Utakuta asiweze kumkunja Kwa kupania akaishia kutoa udelele tu,, Ila mwandishi aweza kumuongezea nguvu Ya kukarawila....
 
SEHEMU YA 59

Nilikuwa mtundu wa kufanya kitu chochote kile faragha, nilimwangalia Haijati huku nikiona kabisa mchana wa siku ile alikuwa akienda kupata tabu sana. Sikutaka kuchelewa, haraka sana nikambeba juujuu na kumpeleka chumbani.

Nilipomfikisha, nikamuweka kwenye kitanda na kuanza kumwangalia kwa macho yaliyoonyesha ni kitu gani nilikuwa nakihitaji kutoka kwake muda huo.

Nilipomkumbuka Issa tu, hasira zikanishika zaidi na kujihakikishia kwamba siku hiyo ilikuwa ni siku ya vita.

Nikamtoa nguo zote mwilini na kwenda kwenye kabati, nikachukua pingu ya faragha na vifaa vingine na kurudi.

Alibaki akinishangaa, hakujua kazi yake kwa sababu si Watanzania wengi wanatumia vitu kama hivi. Kwanza, nikamfunga pingu na kumwambia kwamba siku hiyo ilikuwa ni ya kipekee sana.

Yaliyotokea hapo, si vizuri kuyaandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba Haijati alimsaliti mumewe, nilimchukua mke wa Issa pasipo mwenyewe kugundua kitu chochote kile. Nakumbuka tulichukua saa mbili kitandani ndipo tukaenda kuoga, na huko napo, tukarudia kidogo na kuelekea chumbani kuvaa.

Aliniangalia, hakuamini kilichotokea, hakutarajia kukutana na harakati za kigaidi kama zile alizokutana nazo.

Nilimwangalia kwa macho ya kutaka kusikia kitu chochote kile kutoka kwake kwani niliamini kwa jinsi moto ule nilivyouwasha, asingeweza kukaa kimya hata kidogo.

“Kamwili kadogoooooo...” aliniambia huku akiniangalia, nikaanza kukenua.
“Lakini.........”
“Kanajua mambo! Yaani pamoja na ujanja wangu...sijawahi kukutana na mtu kama wewe.

Umejifunza wapi?” aliniuliza huku akianza kuvaa taiti yake ya ndani kabla ya kupiga dela lake.
“Hahah! Kwani hivi tunajifunzia sehemu?” nilimuuliza.

“Si kawaida kabisa. Yaani pale uliponifunga zile pingu zako mikononi na miguuni, haki ya Mungu ungeniua...yaani nilihisi kabisa mtoa roho alikuwa akinifuata,” aliniambia.

Nikacheka mno, hilo nililijua, nilikuwa mzoefu wa kupata stori kuhusu zile pingu. Kwa mara ya kwanza nilipoambiwa, jamaa alisema kuwa unaweza hata kutaka kumuua mtu kwani inakuwa ni mara tano ya ile hali anayoisikia kikawaida.
 
SEHEMU YA 60

Nilikuwa mtundu wa kufanya kitu chochote kile faragha, nilimwangalia Haijati huku nikiona kabisa mchana wa siku ile alikuwa akienda kupata tabu sana. Sikutaka kuchelewa, haraka sana nikambeba juujuu na kumpeleka chumbani.

Nilipomfikisha, nikamuweka kwenye kitanda na kuanza kumwangalia kwa macho yaliyoonyesha ni kitu gani nilikuwa nakihitaji kutoka kwake muda huo.

Nilipomkumbuka Issa tu, hasira zikanishika zaidi na kujihakikishia kwamba siku hiyo ilikuwa ni siku ya vita.

Nikamtoa nguo zote mwilini na kwenda kwenye kabati, nikachukua pingu ya faragha na vifaa vingine na kurudi.

Alibaki akinishangaa, hakujua kazi yake kwa sababu si Watanzania wengi wanatumia vitu kama hivi.

Kwanza, nikamfunga pingu na kumwambia kwamba siku hiyo ilikuwa ni ya kipekee sana.

Yaliyotokea hapo, si vizuri kuyaandika hapa ila kwa kifupi ni kwamba Haijati alimsaliti mumewe, nilimchukua mke wa Issa pasipo mwenyewe kugundua kitu chochote kile.

Nakumbuka tulichukua saa mbili kitandani ndipo tukaenda kuoga, na huko napo, tukarudia kidogo na kuelekea chumbani kuvaa.

Aliniangalia, hakuamini kilichotokea, hakutarajia kukutana na harakati za kigaidi kama zile alizokutana nazo.

Nilimwangalia kwa macho ya kutaka kusikia kitu chochote kile kutoka kwake kwani niliamini kwa jinsi moto ule nilivyouwasha, asingeweza kukaa kimya hata kidogo.

“Kamwili kadogoooooo...” aliniambia huku akiniangalia, nikaanza kukenua.
“Lakini.........”

“Kanajua mambo! Yaani pamoja na ujanja wangu...sijawahi kukutana na mtu kama wewe. Umejifunza wapi?” aliniuliza huku akianza kuvaa taiti yake ya ndani kabla ya kupiga dela lake.

“Hahah! Kwani hivi tunajifunzia sehemu?” nilimuuliza.
“Si kawaida kabisa.

Yaani pale uliponifunga zile pingu zako mikononi na miguuni, haki ya Mungu ungeniua...yaani nilihisi kabisa mtoa roho alikuwa akinifuata,” aliniambia.

Nikacheka mno, hilo nililijua, nilikuwa mzoefu wa kupata stori kuhusu zile pingu. Kwa mara ya kwanza nilipoambiwa, jamaa alisema kuwa unaweza hata kutaka kumuua mtu kwani inakuwa ni mara tano ya ile hali anayoisikia kikawaida.
 
SEHEMU YA 61

Siku hiyo niliamini, na nilipokumbuka jinsi alivyokuwa akikileta kifua chake juu na kushuka chini, niliamini kabisa ningeweza kumuua. Haijati akachanganyikiwa, aliniambia kabisa kwamba angemsaliti mume wake kwangu katika maisha yake yote, na hata kama ingetokea siku nimeoa, bado angehitaji kupata nafasi ya kuwa nami.

“Sawa. Wewe tu,” nilimwambia.
Baada ya dakika kadhaa tukatoka na kumsindikiza mpaka Tabata Bima na mimi kurudi zangu.

Nilifurahi sana, unajua unapokuwa na adui yako halafu unafanya kitu ambacho unaamini kabisa kwamba kama ingetokea siku akajua, ataumia sana, basi ungefurahi mno.

Niliporudi nyumbani, kitu cha kwanza kilikuwa ni kuwasiliana na Halima, nilihitaji kumseti kwanza kwa sababu ni zamu yake ndiyo iliyokuwa ikifuata.

Nikaanza kuchati naye mpaka majira ya saa tano usiku, alilegea kwa sababu alijua kwamba nina pesa, basi kila kitu nilichokuwa nikiongea, alikuwa akichekacheka tu.

“Ila nilikumisi,” aliniambia bila aibu, eti alinimisi, nilikuwa kapuku, alinimisi kwa lipi? Ila kwa sababu na mimi nilikuwa nahitaji kitu kutoka kwake, nikaunganisha.

“Hata mimi! Nimekuwa nikiota ila siku kuhisi wewe. U msichana wa ajabu sana,” nilimwambia.

“Kweli?”
“Yaah! Nikuulize swali?”
“Niulize!”
“Hivi umevaa ya rangi gani hapo?” nilimuuliza.

“Nini?”
“Acha utoto bwana!” nilisema na kuanza kucheka kile kicheko cha chini.
Alikuwa mtu mzima, alijua kabisa kile nilichomaanisha ila mwenyewe akaanza kujifanya kama mtu anayesikia aibu kubwa.

Akaanza kujiumauma ila mwisho wa siku akaniambia mwenyewe.
“Rangi ya pinki!” “Oh! Daah! Natamani sana siku nione jinsi inavyokupendeza. Unavaa kiuno namba ngapi?” nilimuuliza.
“Mh! Wala sijui! Mi nanunuaga tu! Kwa nini umeuliza?” aliniuliza.

“Nataka nikununulie kadhaa, tena nikuvalishe mimi mwenyewe,” nilimwambia kwa sauti fulani hivi ya kimitego.
“Mh! Utanichungulia!” aliniambia.
“Nitafumba macho! Kweli sitoona,” nilimwambia.

Kwenye maongezi kama haya ndipo unapogundua kuwa mwanaume raha sana. Yaani unaanza kuona mwili wako ukianza kupata hali fulani na sehemu moja kuanza kukakamaa.
 
SEHEMU YA 62

Sauti yake ilibadilika kabisa, yaani nilijua alianza kuingia kwenye ulimwengu fulani hivi, na mimi ninavyopenda sifa, tena ninavyojua kuitumia sauti yangu vizuri, basi ndiyo nikaongeza na kuongea.

“Edward...” aliniita, tena kwa sauti kuonyesha kwamba alichanganyikiwa.
“Nipo hapa mpenzi!”
“Hivi ushawahi kufanya kwa kutumia simu?” aliniuliza.

Kwanza kabla ya kujibu nikanyamaza, nikaanza kujifikiria mambo mengi, swali lake lilikuwa na mitego mingi, kama ningemwambia nimeshawahi kufanya basi angegundua kama mimi nilikuwa malaya tu, na kama ningemwambia kwamba sijawahi kufanya basi angeniona boya.

Kiukweli niliwahi kufanya zamani sana wakati nasoma, kipindi hicho unajiunga na tigo saa sita usiku na kupewa dakika ishirini na tano.

Kipindi hicho ndicho nilichofanya sana kwa kutumia sauti, tena nilikuwa mtu hatari.

Nilizungumza kwa hisia, nilimtega, niliongea maneno ambayo yalimfanya msichana yeyote yule achanganyikiwe na mwisho wa siku kuniambia alitaka kwenda kuoga kwani alichafuka kana kwamba alitoka kucheza mpira.

Hako kaswali kake kamoja tu kakanifanya nikumbuke mademu wengi wa kipindi kile shule, hasa Fatuma ambaye kwangu ndiye alikuwa mtu dhaifu sana.

“Edward ongezaaaa....” niliyakumbuka maneno yake hayo, yaani tulikuwa tukiongea kwenye simu lakini alichanganyikiwa.

Hakuwa huyo tu, walikuwa wengi, tatizo la Fatuma ni kwamba aliwaambia marafiki zake ambao nao walijilengesha na mimi sikutaka kuonekana mshamba, walihitaji pipi ya kijiti, mimi nikawapa ice cream wanyonye kabisa.

“Sijawahi kufanya kwa simu, huwa sipendi,” nilimjibu kabisa.
“Sawa.”
Nilijua, alichanganyikiwa mno lakini hakuwa na la kufanya.

Sikutaka kuendekeza mchezo wa kufanya kwa simu kwa sababu nilikuwa nimekua, sikuwa mtoto kama kipindi kile shuleni.

Nilimwambia Halima kwamba nilitaka kuonana naye hivyo ingekuwa vizuri sana kama kesho ndiyo ningeonana naye. Akakubali na hivyo kuniambia nijipange kwani yeye alikuwa mtu hatari sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom