SEHEMU YA 69
Nilipofikia tu, yakatokea mambo machafu kidogo, nikambeba na kumpeleka chumbani kisha kumuweka kwenye kitanda na kurudi sebuleni.
Pale sebuleni nikafungua friji na kutoa barafu ambalo nikalipasuapasua na kuchukua kipande kikubwa na kukiweka mdomoni na kurudi chumbani.
Nilipofika, nikaitoa ile khanga na kuanza kushughulika na mwili wake kwa kuweka mdomo wangu kila kona huku nikiugusa kwa kutumia kile kipande cha barafu kilichokuwa mdomoni mwangu.
Nilimsikia akibadilika kabisa, alikuwa mweupe lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda mbele niliyaona mabadiliko kabisa, mwili wake ulikuwa unaelekea kwenye wekundu na sikutaka kumuacha kabisa.
Alilalamika, si kwa maumivu bali kwa raha aliyokuwa akiisikia. Kile kipande cha barafu kilikuwa na nguvu ambayo sikuitegemea kabla, ulikuwa ni kauchawi ambacho si watu wengi sana walikuwa wakiujua.
Niliufanya utundu huo mpaka kipande kile cha barafu kilipokwisha, sikuridhika, nikakichukua kingine na kuendelea.
Nilihitaji kumaliza kila kitu ndani ya dakika chache, faragha, kutumia muda mrefu si sifa bali unaweza kutumia muda dakika ishirini tu lakini utalii wako ukawa mkubwa kuliko hata yule ambaye angetumia masaa mawili.
Sihitaji kukuandikia yote hapa, ila kwa kifupi jua nilifanikiwa kwa asilimia mia moja kiasi kwamba akahitaji kulala hapohapo.
Sikuhitaji hilo, kwenye kitu ambacho siwezi kufanya ni kulala na mwanamke, hasa katika nyumba kama hiyo.
Kama ningelala naye, nilijua kabisa baadaye Esta angeanza kunisumbua, sikutaka ajue kama nilikuwa na mtu, nilihitaji kumuonyeshea kwamba nipo singo na ndiyo maana usiku nilihitaji kuwa huru kabisa.
Basi baada ya kumaliza kila kitu, tukaelekea bafuni, tukaoga na kutoka. Hakunimaliza, kila aliponiangalia, nilijua alikuwa akijiuliza ni kwa kiasi gani nilikuwa nayafahamu hayo yote! “Barafuuuu...” aliniambia huku akiniangalia.
“Unamaanisha nini?”
“Umejifunza wapi? Sikuwahi kufanyiwa kitu kama hiki, na sikuwahi kufikiria maishani mwangu,” aliniambia.
“Hahaha! Kawaida tu, kuna siku ukija, nitakupaka asali,” nilimwambia.
“Unipake asali?”
“Ndiyo!”
“Kwa nini?”
“Nataka niilambe mpaka yote iishe mwilini mwako,” nilimwambia, nilimwangalia, niliona jinsi alivyosisimka.