Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

SEHEMU YA 49

Tukaondoka na kuelekea hotelini. Nilijiona Mfalme Mswati. Niliona hotelini mbali, wakati mwingine nilitamani hata kupiga picha na kuwaonyeshea Watanzania wote kwamba si mnaona sasa nilivyo? Si mnaona jinsi ninavyoondoka na watoto wawili?

Tulipofika hotelini tukaingia, sikutaka kuchelewa, mambo yakaanza mara moja huku nikionekana kuwa na kasi kama Hussein Bolt.

Nilitaka kuwaonyeshea kwamba hela ya mwanaume haiendi bure, ilikuwa ni lazima wailipie na ndicho kilichotokea. Ilichukua masaa matatu, wote wakawa hoi.

“Wewe mtu balaa!” aliniambia Doreen huku akiniangalia kwa mshangao, pamoja na mambo yake machafu lakini alikiri kwamba hakuwahi kukutana na mimi.
“Balaa langu lipi sasa?”

“Utadhani siyo mwanaume wa Dar!” alidakia Amanda.
“Kwa hiyo mnaniambiaje? Mmeshakula laki moja yangu na huduma mliyonipa ni ya shilingi elfu sitini tu, kuna ya arobaini imebaki huko kwenu,” nilimwambia.

“We kaka utatuua!”
“Basi nawaongezeni, mimi mpaka niridhike!”
“Kwani hujaridhika tu?”
“Bado hata kidogo!” niliwaambia.

Niliongea kama masihara lakini nilimaanisha, ni masaa matatu lakini ilionekana kama nusu saa kwangu. Filimbi ikapigwa tena na wachezaji kuingia uwanjani.

Watu walikuwa wakihema kama mbwa, mpira wa siku hiyo ilikuwa balaa, viungo walikuwa wakimiliki mpira kwa kasi kubwa, kila ulipokuwa ukitoka, mpira mwingine ulirushwa ndani kuonyesha kwamba siku hiyo ilikuwa ni ya kazi tu, wachezaji wasiokuwa na uwezo wa kumaliza dakika tisini hawakutakiwa kucheza mechi hiyo.

Nakumbuka tuliingia majira ya saa kumi jioni na waliondoka pale saa tano usiku, niliwang’ang’aniza walale, wakakataa kabisa.

“Nitawapeni milioni moja kila mtu!”
“Hapana! Hata ukinipa milioni hamsini silali! Mwanaume gani hutosheki!” aliniambia Doreen.

“Jamaniiiiiiii....”
“Aku! Tena usiniguse,” aliniambia Doreen manake alishaona mkono wangu ulianza kumletea shobo.

Nikaachana nao, wakaondoka na mimi kulala hotelini.

Asubuhi ilipofika, baba yake na Zamaradi akaniambia kwamba siku hiyo ndiyo walitaka kuhama hivyo nilitakiwa kuonana naye.
Nawaona wanaume wa dar wamehusishwa sana kwenye hii episode!!
 
SEHEMU YA 51

Mafundi walianza kujenga nyumba yangu ambayo nilihitaji kwenda kuishi Tegeta. Nilikuwa na furaha tele, kwa jinsi nilivyokuwa nikiwaangalia mafundi walivyokuwa wakiijenga nyumba hiyo, sikuamini kama kweli ilikuwa ni mimi ndiye niliyewaambia wafanye hivyo.

Nilikaa pembeni huku nikifuatilia kila kitu. Nilihitaji nyumba kubwa na ya maana ambayo ndani yake kungekuwa na bwawa la kuogelea. Kwa kipindi chote hicho sikuwa nimeonana na Nurat, ilikuwa kama wiki moja hivi, tulikuwa tukiwasiliana kwenye simu tu.

Kipindi hicho nilitaka niende Kariakoo kuonana na dada zake, Issa na kuzungumza nao.

Nilikuwa na ratiba yao, nilijua kabisa kwamba siku hiyo kama ningekwenda huko ningemkuta Halima na hivyo kumfanyia kile nilichotaka kufanya.

Nikaondoka kwa gari langu, IST ambayo niliinunua milioni kumi na mbili showroom.
Nilipofika Kariakoo, nikaenda katika eneo ambalo lilitumika kuegeshea magari karibu kabisa na Big Bon, nikaliacha na kuelekea katika Mtaa wa Kongo kwenda kuonana na Halima.

Nilipofika, kweli nilimkuta, alishtuka sana kuniona, nilibadilika, niliondoka kwa wiki kadhaa na aliniona kama mpya. Akanisogelea, hakuamini alichokiona, yule Edward aliyekuwa amepotea kwa kipindi kirefu hakuwa huyu, nilikuwa mwingine kabisa.

Pale hakuwa peke yake, kulikuwa na msichana mwingine mzuri ambaye sikumjua, alionekana kutabasamu na kuwa na shauku ya kutaka kufahamu nilikuwa nani na kwa nini Halima alikuwa akinichangamkia kiasi hicho.

Wakati nikiwa sijajiandaa hata kumwambia lolote lile, washikaji zangu ambao nilikuwa nikilinda nao na wale walionijua wakanisogelea na kuanza kunisalimia, walinishangaa mno, nilibadilika na kuwa kama mtu fulani ambaye nilikuwa na pesa.

“Edward! Hivi ni wewe ama naota?” aliuliza jamaa mmoja aliyeitwa Fred.
“Ni mimi. Inakuwaje Fred!”

“Poa! Umebadilika, mzee baba mpaka unaanza kuota kitambi,” aliniambia na kuanza kucheka.

Kila mmoja alihitaji kufahamu ni kitu gani kilikuwa kimetokea mpaka kuwa hivyo nilivyokuwa. Niliwaambia kwamba ni bahati tu, ilitokea nikajikuta kuwa na pesa basi nikabadilisha maisha yangu.
 
SEHEMU YA 52

Kila aliyeniona hakuacha kunishangaa, Halima na yule msichana mwingine walikuwa wakiniangalia kwa macho ya kunitamani tu, yaani kama walionekana kuhitaji kitu fulani hivi.

Nilikuwa bize na washikaji, tulipiga sana stori, tulipomaliza, wakaondoka na kuniacha na wanawake hao.

“Umebadilika,” aliniambia Halima, pamoja na mapozi yake aliyokuwa akiniletea siku za nyuma, siku hiyo yalikwisha kabisa.
“Nimekuwaje? Nina mkia?” nilimuuliza kiutani.

“Hahah! Umekuwa m’baba! Aisee umependeza,” aliniambia.
Japokuwa nilikwenda hapo kwa lengo la kumpata Halima lakini yule msichana ambaye naye alikuwa mahali hapo aliniacha hoi sana.

Alikuwa mrembo na nilichokifanya ni kutoleta tamaa zangu kwake kwani niliamini ningemkosa Halima na wakati alikuwa kwenye mipango yangu.

“Na huyu ni nani?” nilimuuliza Halima kuhusu msichana huyo.
“Huyu anaitwa Haijati. Ni wifi yangu kwa Issa, mtoto wa Zenji,” alinijibu Halima.

Yaani moyo ukapiga paaa! Sikuamini kile nilichokisikia. Halima aliniambia kwamba huyo alikuwa mke wa Issa, aliamua kumuoa siku chache baada ya mimi kuondoka.

Aisee nilichanganyikiwa, yaani kwa uzuri wa yule demu, namuachaje sasa? Kwa sababu alisikia juu juu tu, nikaamua kuanza kujifagilia kwanza kwani nilijua ingeweza kuwa njia nyepesi mno kumpata.

“Halima! Mtaa wa Kongo haujabadilika imenifanya mpaka gari langu nilipaki kule Big Bon,” nilimwambia, Halima akashtuka mno.

“Una gari?”
“Sasa unanichukuliaje Halima? Namshukuru Mungu kanijalia vijisenti kidogo! Nimenunua nyumba Sinza na ninajenga Tegeta,” nilimwambia Halima.

Hakuamini, kile alichokisikia kilikuwa kama ndoto. Kilikuwa ni kipindi kifupi sana kwa mimi kuwa na pesa hizo, nilizipata wapi? Uchawi ama?
“Imekuwaje?”

“Ni stori ndefu sana. Si pesa za kishetani, ni za halali kabisa. Yaani Mungu amenibariki mno. Umekula?” nilimuuliza.

“Sijala!”
“Utakula nini?”
“Chochote tu bosi!”
“Na shemeji hapo?” nilimuuliza Haijati huku nikimwangalia.

“Chochote tu!”
“Basi sawa.”

Nikaingiza mkono mfukoni na kutoa shilingi elfu kumi na kumwambia aende akanunue chakula chao. Akaichukua, akaondoka na kutuacha wawili sisi pale dukani.
 
SEHEMU YA 53

Hilo ndilo nililolitaka, nilihitaji kuzungumza naye kwa dakika kadhaa, ikiwezekana hata nichukue namba yake ya simu kwa ajili ya kuitumia baadaye.

Mume wake aliutumia udhaifu wangu wa kutokuwa na pesa kumchukua msichana niliyempenda na kufanya naye mapenzi, hii ilikuwa zamu yake, hata kama alikuwa ameoa, moyo wangu ulikuwa na kisasi na nilitamani sana na yeye nimfanyie kama alivyonifanyia, mwenye pesa, muumize masikini tu.

“Ila umependeza shemeji!” nilimwambia huku nikimwangalia kwa macho ya kuita.
“Mh! Ahsante shemeji!”
“Hivi Issa yupo?” nilimuuliza.

“Yupo! Kwani huwasiliano naye?”
“Hapana! Katika maisha yangu niliwahi kuongea naye mara mbili tu.

Huwa ninamjua sana huyu Halima, yeye hatukuwahi kuongea sana,” nilimwambia Haijati, ilikuwa ni lazima nimkatae Issa kwani nilikuwa na mipango mizito sana kwa huyu mke wake.

Sikutaka kuchelewa, kazi yangu muda huo ilikuwa ni kumsifia tu, niliujua udhaifu wa wanawake, unapoamua kuwasifia, mara kumuaminisha kwamba alikuwa na mzigo mkubwa kwa nyuma, alifungashia, alikuwa na kifua kizuri, macho ya goroli, uzuri wa Beyonce, niliamini kwamba ingekuwa rahisi kumpata msichana wa hivyo.

Basi ikawa hivyo. Nilimsifia sana na kumwaminisha kwamba alikuwa mzuri kuliko wanawake wote. Mwenyewe akawa anafurahi tu, akatabasamu kana kwamba nilichokiongea kilikuwa kweli.

“Umeumbika sana Haijati, u mwanamke mrembo sana,” nilimwambia kwa sauti ya taratibu.
“Mh! Asante.”

“Yaani kama ningekuwa na mwanamke kama wewe, hata kazini siendi,” nilimwambia.

“Hahah! Kwa nini sasa?”
“Unataka baba mwenye nyumba aniibie! Ningekuwa nawe muda wote ule, yaani ningehakikisha hata nikienda chooni natangulizana na wewe.

Haijati u mzuri mno, unajua kupendeza, ngozi yako inang’aa sana, huo uzuri, kweli wewe ni mwanamke wa Kizanzibari,” nilimwambia.

“Asante sana!” aliniambia huku akisikia aibu.

“Hivi kuna kitu gani mwanaume atakihitaji zaidi akiwa na wewe?” nilimuuliza.
“Kwani mimi ndiyo kila kitu?”
 
SEHEMU YA 54

“Ndiyo! Ukiwa na njaa, mtu akikuangalia anashiba, mtu akichoka, anapata pumziko, Haijati, kama ningekuwa na nafasi ya kuwa nawe, nahisi ningekuwa na bahati zaidi ya mwanaume aliyefanikiwa kulala na wanawake wote warembo duniani,” nilimwamia.

“Jamaniiiiiiii!”
“Hebu angalia lipsi zako, zinaonekana laini sana, yaani ningekuwa mimi ndiyo Issa, nadhani muda mwingi ningekuwa nazilamba tu.

Una kifua kizuri sana, yaani ningekuwa Issa, ningehakikisha saa ishirini na nne nakiangalia tu,” nilimwambia.

“Mh! Jamaniiiiiii!”
“Una sauti tamu sana Haijati, tamu mno, hebu ongea kidogo niisikie....kidogo tu jamaniiiiiiii....” nilimwambia huku nikitoa tabasamu.

“Jamaniiiiiiiiiiiii...”
“Mashallaaaaaah.......umebarikiwa kuliko wanawake wote,” nilimwambia, akaanza kucheka.
“Inshallah!”

“Ila ningependa niwe naisikia sauti yako hata nikiwa mbali nawe Haijati, naruhusiwa?” nilimuuliza.

“Unamaanisha nini?” aliniuliza na hapohapo nikampa simu yangu aandike namba yake.

“No! Namba hapana!”
“Nakuomba Haijati! Naomba unionee huruma katika hili, najua kwamba ni vigumu lakini naomba unionee huruma katika hili, ninaumwa, ninahitaji tiba, nitibu kwa sauti yako, pleaseeeee...” nilimwambia kwa sauti tamu kishenzi, yaani mpaka leo sijui kasauti kale nilikatoa wapi.

“Nimeolewa ujue.”
“Najua! Sitokupigia ukiwa na mume wako! Niamini katika hilo!”
“Huwa ninakuwa na mume wangu kila wakati!”

“Lakini sasa hivi haupo naye, nitakuwa nakupigia muda kama huu, nakuomba Haijati!” nilimwambia.

“Daah! Mtihani mgumu huu!”
“Lakini bado unaweza kupata A.”
“Hahah! Una maneno wewe!”
Nilimbana, kila alichokuwa akisema, nilikipangua kiakili sana.

Kwa jinsi alivyoonekana tu hakuwa na ugumu wowote ule, alikuwa mteremko ila alitaka kunipima kuona kama nilikuwa mkazaji ama la.

Wakati nikiendelea kubembeleza, mara Halima huyo akarudi na chakula na kukaa na kuanza kula.

Nilichokuwa nikikifanya ni kumwangalia Haijati kisiri kwa jicho lililomaanisha alikuwa na kitu ambacho nilikihitaji sana.

Akawa anachekacheka tu. Walikula na walipomaliza, nikawaaga ila palepale ili kuonyesha umwamba, nikaingiza mkono mfukoni na kutoa pochi yangu, nikatoa laki mbili, laki moja nikampa Halima na nyingine Haijati.
 
SEHEMU YA 55

“Ahsante sana jamani,” alisema Halima.
“Nashukuru!” alisema Haijati.
“Haina shida.

Tutaonana! Ngoja kwanza niende kukta tiketi ya ndege keshokutwa niendelea Malawi mara moja,” niliwaambia, sikutaka kubaki, hapohapo nikasimama na kuondoka zangu.

Kile nilichokifanya niliamini kwamba kilikuwa sumu kali kuliko hata Cynaide, niliamini kwamba kwa namna moja ilikuwa ni lazima nikamilishe mambo yangu.

Kichwani mwangu niliamini kabisa kwamba Haijati alikuwa akienda kulala kitandani kwangu tu kwani kwa mikwara niliyoipga, ilikuwa balaa ile kishenzi.

Hawa wawili nilitaka nimalizane nao, nianze na nani? Nikajifikiriaaaa, nikajua kwamba kama ningeanza na Halima, ningepata kazi kumpata Haijati, hii ni kwa sababu Halima angeweza kumwambia, ila kama ningeana na Haijati, ingekuwa rahisi kumpata hata Halima kwa sababu Haijati angefanya siri kwa kuwa alikuwa ameolewa.

Nikalifuata gari langu na kuondoka zangu. Nilipofika njiani, mara nikasikia simu yangu ikilia mlio uliomaanisha kwamba kulikuwa na ujumbe wa simu, nikaichukua na kuuangalia.

“Ahsante sana,” ulisomeka ujumbe, kuangalia namba ilikuwa ngeni.
“Samahani! Nani?” niliuliza.

“Haijati!”
“Waooo! Namba yangu umeitoa wapi?”
“Nimeiiba kwa wifi. Aliniachia simu akapeleka vyombo!” aliniandikia.

“Nashukuru sana kuipata namba yako mrembo. Hakika hii ni bahati kubwa sana kwangu, naomba nikupigie,” nilimwandikia meseji ndefu.

“Sawa.”
Sikutaka kuchelewa, nikalipaki gari pembeni na kumuendea hewani. Nilianza kuzungumza naye, nilihisi kabisa kwamba mwili wangu ulibadilika kabisa, kulikuwa na hali tofauti nilianza kuihisi mwilini mwangu.

Niliongea naye kidogo, nikamuuliza alipokuwa akiishi, akaniambia alihamia Mabibo yeye na mume wake, Issa.

Kutoka mabibo mpaka nyumbani kwangu pale Sinza, hakukuwa mbali, nilimwambia kwamba ninataka kumuona akiondoka kwa Halima.

“Leo hii?” aliniuliza.
“Yeah! Nimekumiss sana mpenzi,” nilimwambia, nikaingiza jina la mpenzi nione lingeitikiwa vipi.

“Nitaangalia. Nitakushtua nikitoka,” aliniambia na kukata simu.
Jamani! Vijana tafuteni pesa, hiyo ndiyo suluhisho la kutembea na mwanamke yeyote yule unayemtaka.

Unapokuwa na pesa unajiamini, unajiona wewe ndiyo wewe na hakuna wa kukubabaisha.
 
SEHEMU YA 56

Yaani hebu fikiria, huyu Haijati nimekutana naye leo, nikamwambia maneno matamu leo na kumsifia kidogo na nilipomgusia kuhusu kuonana naye, akakubali.

Yaani nimeonana naye leo, ni mke wa mtu, hakuwa akinifahamu kabla lakini mtoto alielekea kibra, halafu nimuache? Sina Ukristo huo.

Nikasema kwamba siku hiyo ilikuwa ni vita, nilichokifanya ni kwenda kwenye duka moja hivi lililokuwa Mlimani City na kununua pingu fulani za faragha.

Kwa wale wanaofuatilia sana mambo ya faragha watakuwa wanazifahamu hizi pingu.

Huwa zinatumika sana, yaani mwanamke au mwanaume anafungwa kitandani mikono na miguu yake na kumwachia mtu aanze kufanya yake.

Hilo ndilo nililotaka kulifanya. Haraka sana nikaenda katika duka hilo lililokuwa Mwenge kwenda kununua vifaa hivyo.
“Nataka seti nzima, huwa kuna nini na nini?” nilimuuliza muuzaji.

“Kuna pingu, mkia wa farasi (Brainded leather whip), kifaa cha mshine cha mtetemo (Vibrator Rechargable) na pampu (Vibratting Butt),” alinijibu.

“Kiasi gani?”
“Laki nne!”
“Naomba!”

Hivi vilikuwa vitu muhimu sana, kuna wale wanaume ambao wanadharaulika, wanaonekana kuwa si kitu faragha huwa wanatakiwa sana kuvitumia hivi vifaa.

Kwa wanawake wanajua, utakuta anakutana na mwanaume anamwambia jamaa amenipaka shombo mno, basi hii ndiyo huwa suluhisho, ni vifaa vya siri sana ambavyo vinapotumika, kama ni mke wa mtu, atakung’ang’ania na kuhitaji umuoe kabisa.
 
SEHEMU YA 57

Basi nikapewa zangu na kuondoka. Nilipofika nyumbani, nikatoa tabasamu, nikasema kwamba siku hiyo ndiyo ilikuwa ni ufunguzi wa nyumba hiyo.

Ilipofika majira ya saa nane, Haijati ananitumia meseji kwamba alikuwa akitoka hivyo alihitaji kuonana nami.
“Njoo Sinza!” nilimwambia.

“Halafu?”
“Twende sehemu!”
“Ila sitaki hotelini wala nyumba ya wageni,” aliniambia.

Nikacheka sanaaaaaaa.
“Usijali! Kwangu je?”
“Chumbani siingiii....”
“Jamaniiiii!”

“Labda mpaka tuzoeane!”
“Haina shida!”
Mtu mzima nikaandaa mazingira, ilikuwa ni lazima nihakikishe kila kitu kinakuwa sawa kabisa.

Baada ya nusu saa akasema kwamba alikuwa akiteremka Shekilango hivyo nimfuate. Haraka sana nikamfuata, nikamuingiza ndani ya gari na kuondoka zetu.

Tulikuwa tunaongea mambo mengi mno njiani, baada ya dakika kadhaa, tukafika, nikaliingiza gari ndani, tukateremka na kuelekea ndani.

Haijati alikuwa akishangaa, hakuamini alichokuwa akikiona. Nyumba ilikuwa kali mno, ilipendeza na kila kitu alichokiona alihisi kama alikuwa kwenye ulimwengu fulani hivi.

Tulipofika sebuleni, akakaa kwenye kochi na kumsogelea.
“Nikuletee nini?” nilimuuliza huku nikiwa karibu naye.
“Chochote kile.”

“Kuna maziwa, juisi, soda, chokleti, unahitaji nini bebi,” nilimwambia, jina la bebi nalo nikalitaja kama kurahisisha mambo yangu!”
“Naomba juisi!”

“Ya pasheni au maembe!”
“Yoyote upendayo!”
“Sawa.”

Nikainuka na kuelekea kwenye friji na kumletea juisi. Hakuacha kushangaa, nilijua tu alikuwa akiyafikiria maisha yangu kwamba yalikuwaje, kwa nini nilionekana kuwa na pesa kiasi kile.

“Wifi yangu yupo wapi?” aliniuliza swali la kijingaaaaa...yaani kwenye maswali yote duniani, hili ndilo la kijinga, na mwanaume ukiulizwa swali hili usishtuke, hili humaanisha kwamba nimekubali kuwa na wewe kwa gharama zozote zile.

“Hakuna wifi!”
“Kaenda wapi?”
“Nipo singo tu! Mapenzi yalinipelekesha kishenzi,” nilimwambia kwa sauti ndogo.
“Kivipi?”

“Pesa si kila kitu, wakati mwingine mwanamke anahitaji muda, nilikuwa bize na kazi hivyo akaamua kuondoka,” nilimwambia.

“Mh! Kwa hiyo bado upo bize?”
“Hapana! Nilijifunza, sasa hivi biashara zangu zote nimeweka wasimamizi, hivyo nina muda mwingi mno,” nilimwambia.
“Sasa si ndiyo umrudishe!”
 
SEHEMU YA 58

“Ameolewa! Yeye ni Muislamu, hivyo alipoondoka, watu wakanyanyua jiko fasta. Au nimsubiri mpaka aachike,” nilimwambia.

“Sio vizuri hivyo,” aliniambia.
Tukawa tunapiga stori. Yaani kama kunakuwa na jambo linataka kutokea, utajua tu.

Tulianza kwa kukaa makochi tofauti, tuliongea weeee, nikahama na kuhamia kwenye kochi lake alilokalia la watu wanne. Yeye alikaa kule mwisho na mimi huku.

Tuliendelea na stori, tukajikuta tunasogeleana tu na mwisho wa siku kuwa karibu-karibu kabisa kiasi cha kusikia pumzi za mwenzako.

“Una sauti nzuri sana,” nilimwambia kwa kumnong’oneza.
“Ahsante!”
“Nataka niisikie sauti yako ikitoa sauti nyingine ya faragha! Naruhusiwa?” nilimuuliza, alikuwa mtu mzima, si mtoto hivyo alijua nilimaanisha sauti gani.

“Jamaniiiiiiii....” aliniambia, hata kabla hiyo jamani yake haijamalizika vizuri, akashtukia mkono wangu ukianza kazi maalumu ya kuanza kutoa nguo moja na nyingine, hakunikataa, alibaki akiniangalia, yaani kwa kifupi ni kwamba alikuwa tayari kwa kila kitu.
*
*
*
Je, nini kitaendelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom