Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,902
- 145,982
Hamna majini wala nchi kavu, watu wanacheza tu.
Mzizi Mkavu stori umeichukua gazetini tena Ijumaa (imemlizika muda si mrefu)je umewaomba au umeamua kuitoa humu bila kupata haki?otherwise ni nzuri na kiboko ya shetani ni Yesu hata kama ana nguvu vipi kwa imani anashindwa.
Kwahiyo jamaaa kawa Shigongo watu bila kupenda!.......tehe tehe kumbe wateja wa Shigongo mko wengi eeeh.......jamaa watu wanamkataa kwa midomo ila wanamkubali moyoni..........Mzizi Mkavu stori umeichukua gazetini tena Ijumaa (imemlizika muda si mrefu)je umewaomba au umeamua kuitoa humu bila kupata haki?otherwise ni nzuri na kiboko ya shetani ni Yesu hata kama ana nguvu vipi kwa imani anashindwa.
hujasoma hapo juu kuwa imeisha!!kikubwa shetani ameshindwa na nguvu ya Mungu!mbona huendelezi jamani mzizi mkavu