CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
mbona huendelezi jamani mzizi mkavu
nivea my dia unatutesa sana sie watumia mchina.....kukoti page ndefu namna hiyo.... please don't do that again!!!!!
Last edited by a moderator:
mbona huendelezi jamani mzizi mkavu
yani nna mtihani saa nne ila tangu usiku naisoma hii hadithi, sasa MziziMkavu nikifeli mtihani ujue nakuja kukukemea kwa jina la yesu utokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kijana hebu msome ram hapa chini.... MziziMkavu anawapigeni changa la macho kwa hadithi za shigongo.... STUKA!!Hii ni true story mkuu MziziMkavu?
Mzizimkavu, hii si ilikuwa kwa shigongo, gazeti la ijumaa!
Binafsi niliipenda tu kwani mwisho wa siku mchungaji ndo alimuokoa jamaa kutoka kwa majini na mwisho aliokoka kabisa
Hii ni true story mkuu MziziMkavu?
Nawe ai ukanunue gazeti la Ijumaa uisome hii hadithi ya shigongo?
Si ndio hapo rafiki. Jamaa anawatesa watu weeee wakati kitu ilishatoka siku miiiiiingi. Hahahaha afu nawe ndio nini unaleta unoko wa kufichua siri za watu hazarani?Simulizi kwenye gazeti ilishaisha
Ni true story, jamaa aliisimulia kwenye gazeti la ijumaa, sisomagi sana magazeti ya udaku lkini niliifuatilia hii hadi mwisho, ni kweli jamaa aliishi na majini lakini mwisho wa siku walokole walimsaidia na jamaa hadi leo kaokoka japo alikuwa islamic
Hhahahahaha ndio unazidi kumharibia swahiba siyo? Watu wakilitafuta gazeti sredi si itakosa wasomaji nawee:becky::becky:
Nawe pia rafiki. Ulitumia line ya tigo? Ile ya eatel naona kama sijaisevu so labda sikujua kama ni wewe. Am sorry na ahsante kwa kunikumbuka rafiki mwema.Jamani sikna maana hiyo pengine ni simulizi tofauti ila kwa jinsi tu nilivyiona hapa ni ile ile ya shigong
Heri ya mwaka mpya rafiki, niliku-wish naona hukuona sms yangu
Nawe pia rafiki. Ulitumia line ya tigo? Ile ya eatel naona kama sijaisevu so labda sikujua kama ni wewe. Am sorry na ahsante kwa kunikumbuka rafiki mwema.
Oh ngoja ntaisevu bana, nimeisevu ya tigo tu.Yah, nilikusms kwa line yangu ya airtel nikakutumia kwenye voda yako
Anyway Mungu ni mwema, nimefurahi kuona bado upo rafiki, jioni njema, muda wa kurudisha majeshi home umefika