Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Mkuu inawezekana Rose alijilipa mapema baada ya kudokezewa na mdogo mtu.
Mademu achana nao kabisa yaani.
Inawezekana aisee, ile kujimwambafai kuwa yeye si mtu wa kutaka pesa kisa ana kazi yake ilikuwa kumuingiza jamaa king tu. Ili aweze kumpiga pakubwa, na mahesabu yake yalikuwa million.😄😄😄
 
Nimesoma uzi kuanzia 1 mpk 635, kwa masaa machache nimejifunza mambo mengi sana.
 
Uzi mzuri. Nimejifunza sana kiukweli kumbe jf kuna big writers. Sijui ni mtazamo au ni fact niliyoiderive... Ni kwamba I think your destiny lies with your family. Umerudisha upendo kwa familia ukaachana na "kelele" za nje I bet Mungu alikua anataka hivyo.

Wengi hawajui tu lakini wake wana nafasi kubwa sana katika.maendeleo. unapombariki na.kumsupport mke na ukampenda na kumuheshimu.kuna your heaven hapo. Weng hawajui hili wanajikuta mishe zinafeli ukija kuchunguza kuna nuksi aliichota somewhere.

Unless uwe mshirikina haswa sio.wa kubipu. Men should respect their families.ili Mungu abariki na alete maendeleo katika generation.
 
Ahsante mkuu
 
Jack Daniel nmechoma like 4 hours leo kusoma hii kitu, n i gotta say, this is massive. Impressive. Personally, it is inspiring. Kuna sehem nmefika mpka nkawaza, hii kazi yangu naidharau lakn duh, bora niipende tu maana mkate unapatikana. Hata magum nnayopitia smtymz, kumbe nna nafuu. Aisee ubarikiwe sana. Sana sana sana.
U r a good friend
 



Bravo!

This was a masterpiece brother, you are a good storyteller with soft writing skills.

It doesn’t leave any stone unturned.
 

Yani huyo mzee ningempiga kofi moja la uso [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…