moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,688
- 16,394
Mfyuuu muoneHahhahha nimefurahi tu ulivyojibu
Mfyuuu muoneHahhahha nimefurahi tu ulivyojibu
alafu mbona hii fupi kama vile umeniandikia smsSehemu ya 82.
"Kaka nitoe mbao za kuanzia kuchonga jeneza?" mdogo wangu aliniuliza kwa ghafla kiasi kwamba nilishtuka na kujikuta nikiachana na wale watu na kumjibu yeye.
Nilipokumbuka na kurudisha macho kwao, nilibahatika kuona kama mguu wenye kanzu ukifutika ndani ya ile nyumba ya yule nama jirani yangu.
Je nini kitaendelea?
Sako kwa bako!nipo nawe unyayo kwa unyayo
mbona nitakoma mimi hadi siku umalize napaswa kwel kuwa mvumilivuEbu tulia
Mbona mleta story anayumba mpaka sasa haletimbona nitakoma mimi hadi siku umalize napaswa kwel kuwa mvumilivu
hahahaa hii kaliSako kwa bako!