Parable
Senior Member
- May 2, 2012
- 192
- 153
Kwel mkuu naogopa sana mke wa mtu
Mwambie aache kuwasiliana nawe afu kama una mchumba uwe uanze kumleta kwako..pia ublock namba yake ili asipate mawasiliano akikutafuta..heri nusu Shari kuliko Shari kamili