HatariKwakushtuka kwake baada ya kumpa hiyo elfu 30 ilikuwa ni dalili tosha kwamba "yajayo yanafurahisha".
Fanya ufanyavyo lakini elewa mke wa mtu sumu, kwahiyo kama majaribu yakikushinda, jua tu siku ukikamatwa huna wa kumlaumu zaidi yako mwenyewe. Na wanawake wengine ni wepesi sana kujisahau hasa wakinogewa na penzi la nje. Kwahiyo watch out!
MmmmhKwakushtuka kwake baada ya kumpa hiyo elfu 30 ilikuwa ni dalili tosha kwamba "yajayo yanafurahisha".
Fanya ufanyavyo lakini elewa mke wa mtu sumu, kwahiyo kama majaribu yakikushinda, jua tu siku ukikamatwa huna wa kumlaumu zaidi yako mwenyewe. Na wanawake wengine ni wepesi sana kujisahau hasa wakinogewa na penzi la nje. Kwahiyo watch out!
ushauri makini sana huuNikupe siri moja boss. Kwanza pole kwa kujizamisha mwenyewe kwenye matope.
Pili tengeneza urafiki sana na mmewe hii itakupa immunity kiaina kama ukiwa na akili.
Tatu epuka kuwa iddle. Kaa kazini mda mwingi, rudi home na toka kwenda mazoezi. Ukilala nakuhakikishia hata mlio wa simu hutausikia.