Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Mimi ni kijana niliyeanza kujitegemea baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikajifunza fani fulani mtaani ambayo kwa sasa inaendesha vizuri maisha yangu

Mwezi wa nne nilipanga chumba hapa mjini na niliwakuta wapangaji watatu wawili wakiwa wameoa na mmoja single kama mimi.

Baada ya kukaa kama wiki moja mke wa jirani yangu alinifuata na kuniambia shemu kuna suala la usafi wa choo na mazingira kwa ujumla hivyo nilitakiwa kushiriki au kuwapa wao hela waweze kunisaidia kama ntakuwa bize basi nilijifikiria japo sikuwa bize sana niliamua tu niwape hela nikatoa elf 30 nikampatia nikaona kashtuka kidogo akashukuru na kuondoka

Siku iliyofuata nikiwa sina hili wala lile yule mke wa mpangaji mwenzangu alinigongea asubuhi mume wake akiwa kaenda kazini akanikaribisha chai huku akisisitiza si vizuri kwa mimi kujipikia kila kitu hadi chai ambayo anaweza kuwa anapika tu kwan asubuhi hubaki peke yake mumewe akiwa kazini (fundi ujenzi) nilikataa kwa siku hiyo lakini jioni nikiwa ndani alinigongea tena akiniambia alikuwa anaosha vyombo na hivyo kama nilikuwa na vyombo vichafu nimpatie anisaidie nikampatia bila hiyana akaosha na kuniletea

Juzi aliniomba namba yangu akisema si vizuri kuwa nyumba moja bila mawasiliano akidai mume wake anakosa nafasi ya kuniomba namba hivyo ameamua achukue ampatie cha ajabu asubuhi alituma meseji nying akinichombeza kuwa tunaweza kutoka kwenda beach fulan hapa mjini kiutani nikajifanya kumuitikia ili asijisikie vibaya.

Usiku wa jana amenitumia mesej akisema kesho lazma tutoke nami nikashtuka kuona yupo serious nikamwambia si vizur kwan ni mke wa mtu na muda huo mumewe angeweza kuziona chat zake lakn akasisitiza kuwa hakuna tatizo kwani mumewe sio muelewa na muda wote yupo bize na mikazi migumu na hurud amechoka kama guruwe kuona mesej hiyo nikaacha kujibu txt zake akawa anatuma nyingi nyingi mimi nikawa kimya na leo asubuhi nimetoka mapema asubuhi amenitumia txt et mbona umekimbia chai yangu gwele leo, mara vipi ule mtoko jamani yaani nimechanganyikiwa sijua nifanyaje nataman kuhama lakin kodi yangu ya miezi iliyobak inaniuma halafu pia mwenye nyumba wa hapa ni muelewa sana na mazingira ni mazuri lakin kiukweli sina amani hapa namuheshimu kijana mwenzangu ndoa yake haina hata mwaka mmoja na bado hawajabahatika kupata mtoto lakini huyu mwanamke ananiweka majaribuni mno japo kiukweli ni binti mzuri hata sikudhani kama kweli ameolewa katka maisha kama yale.
sikia wewe mgonge huyo demu kwa siri
 
Mdogo wangu,kaa mbali na hiyo ndito,itakuletea balaa,ishu kama hiyo ilishawahi kunikuta kanda ya ziwa,mke wa MTU,akanipenda,akagombana na jamaa yake,akaniomba nimsaidie kuhamisha vitu vyake kwa gari langu,hapo ndio niliharibu,majirani wote wakaona,anapakia vitu kwenye gari,jioni wakamuambia jamaa,jamaa alininunia balaa,mpaka uzalendo ulipomshinda akanieleza wazi wazi,wake za watu ni shida,utashindwa kuishi kwa amani,na usijidanganye,akiendelea kukupikia,kukuoshea vyombo,jamaa atajua tu,
Achana na hiyo maneno,
 
Huyo mwanamke tamaa na shetani wa ngono keshamuingia, atakuja kukuletea matatizo, muepuke haraka sana, ila huna sababu ya kuhama nyumba, jifunze kukabiliana na changamoto za maisha, utakimbia nyumba ngapi? Kwa hiyo, kila nyumba utakayohamia ukikuta mwanamke anakutaka utakuwa unahama?
a) Mkazie mchacho mwambie kwamba hutaki hayo anayoyataka yeye na akiendelea utamwambia mumewe na ushahidi unao kwenye messages za simu
b) Tafuta mwanamke wako awe anakuja hapo, hata kama wa kuzugia tu ili ujenge heshima, kutokuwa na mwanamke kunachangia kumpa matumaini kwamba siku moja atafanikiwa.
 
Mimi ni kijana niliyeanza kujitegemea baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikajifunza fani fulani mtaani ambayo kwa sasa inaendesha vizuri maisha yangu

Mwezi wa nne nilipanga chumba hapa mjini na niliwakuta wapangaji watatu wawili wakiwa wameoa na mmoja single kama mimi.

Baada ya kukaa kama wiki moja mke wa jirani yangu alinifuata na kuniambia shemu kuna suala la usafi wa choo na mazingira kwa ujumla hivyo nilitakiwa kushiriki au kuwapa wao hela waweze kunisaidia kama ntakuwa bize basi nilijifikiria japo sikuwa bize sana niliamua tu niwape hela nikatoa elf 30 nikampatia nikaona kashtuka kidogo akashukuru na kuondoka

Siku iliyofuata nikiwa sina hili wala lile yule mke wa mpangaji mwenzangu alinigongea asubuhi mume wake akiwa kaenda kazini akanikaribisha chai huku akisisitiza si vizuri kwa mimi kujipikia kila kitu hadi chai ambayo anaweza kuwa anapika tu kwan asubuhi hubaki peke yake mumewe akiwa kazini (fundi ujenzi) nilikataa kwa siku hiyo lakini jioni nikiwa ndani alinigongea tena akiniambia alikuwa anaosha vyombo na hivyo kama nilikuwa na vyombo vichafu nimpatie anisaidie nikampatia bila hiyana akaosha na kuniletea

Juzi aliniomba namba yangu akisema si vizuri kuwa nyumba moja bila mawasiliano akidai mume wake anakosa nafasi ya kuniomba namba hivyo ameamua achukue ampatie cha ajabu asubuhi alituma meseji nying akinichombeza kuwa tunaweza kutoka kwenda beach fulan hapa mjini kiutani nikajifanya kumuitikia ili asijisikie vibaya.

Usiku wa jana amenitumia mesej akisema kesho lazma tutoke nami nikashtuka kuona yupo serious nikamwambia si vizur kwan ni mke wa mtu na muda huo mumewe angeweza kuziona chat zake lakn akasisitiza kuwa hakuna tatizo kwani mumewe sio muelewa na muda wote yupo bize na mikazi migumu na hurud amechoka kama guruwe kuona mesej hiyo nikaacha kujibu txt zake akawa anatuma nyingi nyingi mimi nikawa kimya na leo asubuhi nimetoka mapema asubuhi amenitumia txt et mbona umekimbia chai yangu gwele leo, mara vipi ule mtoko jamani yaani nimechanganyikiwa sijua nifanyaje nataman kuhama lakin kodi yangu ya miezi iliyobak inaniuma halafu pia mwenye nyumba wa hapa ni muelewa sana na mazingira ni mazuri lakin kiukweli sina amani hapa namuheshimu kijana mwenzangu ndoa yake haina hata mwaka mmoja na bado hawajabahatika kupata mtoto lakini huyu mwanamke ananiweka majaribuni mno japo kiukweli ni binti mzuri hata sikudhani kama kweli ameolewa katka maisha kama yale.
stuka kimbia pepo huyo
]
 
Anashindaga kazini mkuu, nilikuwa najit0mbE@ kwa nafasi na kwa uhuru kabisa.
Duuh mkuu hiyo ni hatari sana naogopa sana hawa watu wanaofanya kazi ngumu kujipatia kipato kuwalia wake zao
 
acha kushinda nyumbani, na wewe toka asubuhi na urudi usiku kama mume wake.
 
Achana nae mkuu, mke wa MTU sumu atakualibia ramani zako bureeee. We akituma msg usijibu mkaushie siku3 tu atashika adabu yke
 
Mimi ni kijana niliyeanza kujitegemea baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikajifunza fani fulani mtaani ambayo kwa sasa inaendesha vizuri maisha yangu

Mwezi wa nne nilipanga chumba hapa mjini na niliwakuta wapangaji watatu wawili wakiwa wameoa na mmoja single kama mimi.

Baada ya kukaa kama wiki moja mke wa jirani yangu alinifuata na kuniambia shemu kuna suala la usafi wa choo na mazingira kwa ujumla hivyo nilitakiwa kushiriki au kuwapa wao hela waweze kunisaidia kama ntakuwa bize basi nilijifikiria japo sikuwa bize sana niliamua tu niwape hela nikatoa elf 30 nikampatia nikaona kashtuka kidogo akashukuru na kuondoka

Siku iliyofuata nikiwa sina hili wala lile yule mke wa mpangaji mwenzangu alinigongea asubuhi mume wake akiwa kaenda kazini akanikaribisha chai huku akisisitiza si vizuri kwa mimi kujipikia kila kitu hadi chai ambayo anaweza kuwa anapika tu kwan asubuhi hubaki peke yake mumewe akiwa kazini (fundi ujenzi) nilikataa kwa siku hiyo lakini jioni nikiwa ndani alinigongea tena akiniambia alikuwa anaosha vyombo na hivyo kama nilikuwa na vyombo vichafu nimpatie anisaidie nikampatia bila hiyana akaosha na kuniletea
kwa kweli kwa hapa tu nilipofikia ningeshindwa kuvumilia...ingebidi tu nifanye fasta af nitulie sasa....kumuacha tu hivihivi na anajileta mwenyewe hapana
 
Mkuu Gwele shikilia msimamo huo huo, kila dini hapa duniani imekemea na kukataza ZINAA..... kulala na mke wa mtu mwingine ni laana mbaya sana. Achana na hao wanaokushauri ujinga, usijiharibie maisha yako kisa tamaa za mwili ambazo huwa haziishi.

Shikilia msimamo wako mkuu, kumbuka imeandikwa; "ikimbieni ZINAA". Mimi nakushauri mkaripie huyo dada na umwambie bila kupepesa macho kuwa akae atulie na kuheshimu ndoa yake.
akiambiwa akae atulie aheshimu ndoa kwani ndo itamfany atulie...hizo ni porojo tuu wanazijua na wameamua tu kuwa na tamaa kuvizia vijana wa watu japo wameolewa,,,ishu ni yeye na mume wake tatizo,...ilakuambiwa tu haimfanyi aache hiyo tabia kwani alishapagawa na buku 30
 
Back
Top Bottom