Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Shida hayo mambo hayajaribiw
Wakat unampa vyombo aoshe ulikuwa hujui kuwa ni mke wa mtu?!
Shida hayo mambo hayajaribiw
Dogo ameipata anaichezea...harafu anakuja kuthimulia...kweli upele hupewa asiye na kuchaHahahaaaa unaomba hii nafasi uipate wewe
Bado hajakua huyo usimkomazeDogo ameipata anaichezea...harafu anakuja kuthimulia...kweli upele hupewa asiye na kucha
Wakat unampa vyombo aoshe ulikuwa hujui kuwa ni mke wa mtu?!
Kwel mkuu naogopa sana mke wa mtuKwakushtuka kwake baada ya kumpa hiyo elfu 30 ilikuwa ni dalili tosha kwamba "yajayo yanafurahisha".
Fanya ufanyavyo lakini elewa mke wa mtu sumu, kwahiyo kama majaribu yakikushinda, jua tu siku ukikamatwa huna wa kumlaumu zaidi yako mwenyewe. Na wanawake wengine ni wepesi sana kujisahau hasa wakinogewa na penzi la nje. Kwahiyo watch out!