Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

we hama kabisa alafu ndo uanze kumtafuna, c umesema mzuri eeh?
 
we hama kabisa alafu ndo uanze kumtafuna, c umesema mzuri eeh?
Hawa ni wenyej wa Tanga na mume wake kwahyo huyu binti n mzuri sana plus ucheshi lakn ndio hivyo ni sumu mkuu
 
Hawa ni wenyej wa Tanga na mume wake kwahyo huyu binti n mzuri sana plus ucheshi lakn ndio hivyo ni sumu mkuu
onja kdg mkuu ila hama kwanza, tafuta simu mpya line mpya anza kupiga mzgo hutojutia mkuu mke wa mtu ni mtam bhana wee
 
kaka....wanawake ni hatari zaidi ya ufikiriavyo.......mke wa mtu usimsogelee.....kaa nae mbali.....mheshimu sana....we endelea na story zako tuu hapa....
 
Mkuu atakupeleka pabaya huyo mwanamke. Mkwepe kabisa na ukate mawasiliano nae na mazoea nae punguza na usiwe unashinda hapo ghetto mda mwingi, atakusumbua.
tena ikiwezekana kama bado akizidisha mfokee kabisa
 
Endelea tu kumpotezea atachoka mwenyewe wala usijisumbue kuhama.
 
We unatoa pesa kama meter number unadhan mwanamke anapendaga nini ila nasiku ukikwanguliwa uje kutuambia
 
Mimi ni kijana niliyeanza kujitegemea baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikajifunza fani fulani mtaani ambayo kwa sasa inaendesha vizuri maisha yangu

Mwezi wa nne nilipanga chumba hapa mjini na niliwakuta wapangaji watatu wawili wakiwa wameoa na mmoja single kama mimi.

Baada ya kukaa kama wiki moja mke wa jirani yangu alinifuata na kuniambia shemu kuna suala la usafi wa choo na mazingira kwa ujumla hivyo nilitakiwa kushiriki au kuwapa wao hela waweze kunisaidia kama ntakuwa bize basi nilijifikiria japo sikuwa bize sana niliamua tu niwape hela nikatoa elf 30 nikampatia nikaona kashtuka kidogo akashukuru na kuondoka

Siku iliyofuata nikiwa sina hili wala lile yule mke wa mpangaji mwenzangu alinigongea asubuhi mume wake akiwa kaenda kazini akanikaribisha chai huku akisisitiza si vizuri kwa mimi kujipikia kila kitu hadi chai ambayo anaweza kuwa anapika tu kwan asubuhi hubaki peke yake mumewe akiwa kazini (fundi ujenzi) nilikataa kwa siku hiyo lakini jioni nikiwa ndani alinigongea tena akiniambia alikuwa anaosha vyombo na hivyo kama nilikuwa na vyombo vichafu nimpatie anisaidie nikampatia bila hiyana akaosha na kuniletea

Juzi aliniomba namba yangu akisema si vizuri kuwa nyumba moja bila mawasiliano akidai mume wake anakosa nafasi ya kuniomba namba hivyo ameamua achukue ampatie cha ajabu asubuhi alituma meseji nying akinichombeza kuwa tunaweza kutoka kwenda beach fulan hapa mjini kiutani nikajifanya kumuitikia ili asijisikie vibaya.

Usiku wa jana amenitumia mesej akisema kesho lazma tutoke nami nikashtuka kuona yupo serious nikamwambia si vizur kwan ni mke wa mtu na muda huo mumewe angeweza kuziona chat zake lakn akasisitiza kuwa hakuna tatizo kwani mumewe sio muelewa na muda wote yupo bize na mikazi migumu na hurud amechoka kama guruwe kuona mesej hiyo nikaacha kujibu txt zake akawa anatuma nyingi nyingi mimi nikawa kimya na leo asubuhi nimetoka mapema asubuhi amenitumia txt et mbona umekimbia chai yangu gwele leo, mara vipi ule mtoko jamani yaani nimechanganyikiwa sijua nifanyaje nataman kuhama lakin kodi yangu ya miezi iliyobak inaniuma halafu pia mwenye nyumba wa hapa ni muelewa sana na mazingira ni mazuri lakin kiukweli sina amani hapa namuheshimu kijana mwenzangu ndoa yake haina hata mwaka mmoja na bado hawajabahatika kupata mtoto lakini huyu mwanamke ananiweka majaribuni mno japo kiukweli ni binti mzuri hata sikudhani kama kweli ameolewa katka maisha kama yale.
Acha kuendekeza majanga dogo, wewe umesoma, unashindwaje KUMBLOCK? Mjini kuna mambo sana, ukiendelea kum-entertain utajikuta unaingizwa kwenye majanga makubwa, au kufumaniwa au kutengenezewa mchezo ili akufanye ATM au mtumwa wake.

Vv
 
Mie alijileta nikala af nikahama mtaa....kodi nliuza chumba nikapata ya kuanzia.... Silazi dam japo inauma sana

Kwani ukimpiga dudu mara moja kuna ubaya gani?!

Wee elekea kibla tuu, soon utaelewa kinachoendelea

Acha utoto...wenzako bahati kama hizo tunazitafuta

Duuh mkuu naogopa kugombana na jirani yangu si unajua sisi vijana
Mkuu Gwele shikilia msimamo huo huo, kila dini hapa duniani imekemea na kukataza ZINAA..... kulala na mke wa mtu mwingine ni laana mbaya sana. Achana na hao wanaokushauri ujinga, usijiharibie maisha yako kisa tamaa za mwili ambazo huwa haziishi.

Shikilia msimamo wako mkuu, kumbuka imeandikwa; "ikimbieni ZINAA". Mimi nakushauri mkaripie huyo dada na umwambie bila kupepesa macho kuwa akae atulie na kuheshimu ndoa yake.
 
Tafuta mdada umpange kuhusu huo mkasa, uwe unaenda naye kwako mara moja moja atakuheshimu tu tena umtambulishe kwake kama mkeo mtarajiwa.
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri
 
Tafuta mdada umpange kuhusu huo mkasa, uwe unaenda naye kwako mara moja moja atakuheshimu tu tena umtambulishe kwake kama mkeo mtarajiwa.
Mkuu huu ni ushauri mzuri lakini kumpanga mwanamke kuja mpaka geto sio rahisi sana halafu nina mpenzi wangu lakini yupo mkoani kwasasa
 
Mambo mengine mtu unaona kabisa haya matatizo yanakuja.

Halafu bado unataka kujiingiza kwakujishawishi tukwamba utayapangua.

Maisha ni mpangilio wa chaguzi nyingi, kila unalochagua, linawezakubadilisha maisha yakoyote yajayo, au hata kufupisha maisha yako usiwe namaisha ya baadaye tena.

Jambo la busara hapo ni kutoya entertain hayo mahusiano, kwa maana yanaonekana hayana mustakabali mzuri.
Alichoandika hapa ni kitu ambacho wala hakikuwa kinahitaji ushauri kutoka kwenye hadhara kama hii. Hapao anachojaribu kufanya ni kuonyesha yuko kwenye mazingira gani na anatarajia kufanya nini, na ikiwezekana kujaribu kuhamamsisha wengine ambao nao wanaweza kuwa wako kwenye mazingira kama haya. Liacheni lije lipigwe, hadi lichoke!
 
Achana nae,kicheche huyo kumbuka kama mume anaelalanae hamuoni wa mana atakuona wewe? hata umpe nini mwambie tuu huwezi au mlete mwanamke kama unae harudii tena hashuo lake.
 
mkuu pole sana kama vipi nikulipe kodi iliyobaki ili nihamie mimi hapo,na untambulishe kwa huyo dada kuwa mimi ndo mwalimu wako kwa madem
 
Alichoandika hapa ni kitu ambacho wala hakikuwa kinahitaji ushauri kutoka kwenye hadhara kama hii. Hapao anachojaribu kufanya ni kuonyesha yuko kwenye mazingira gani na anatarajia kufanya nini, na ikiwezekana kujaribu kuhamamsisha wengine ambao nao wanaweza kuwa wako kwenye mazingira kama haya. Liacheni lije lipigwe, hadi lichoke!
Hapana mkuu najitahidi sana kujizuia kama umesoma vizuri utaona ninavyompunguza kasi lakini kumbuka mimi pia ni mwanaume tumeumbwa na tamaa ila najitahidi sana
 
Hapana mkuu najitahidi sana kujizuia kama umesoma vizuri utaona ninavyompunguza kasi lakini kumbuka mimi pia ni mwanaume tumeumbwa na tamaa ila najitahidi sana

Why bring the matter kwenye jukwaa? Kuna kitu gani hapa kigumu cha wewe mwenyewe kuamua hadi ufikie kuhitaji ushauri kwenye forum ambayo ni ninternational? Huna hata rafiki wa kumshirikisha? Huna nia njema na huyo mke wa mtu na pengine unajaribu kupamba tu stori kumsingizia ila wewe ndiyo chanzo, unafki mtupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom