Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

Unashindwaje kumuelewa?
Wewe ndio haueleweki, hujui unataka nn.Ume-intertain mazoea naye sana.

Kata mawasiliano naye, chai, kuoshewa vyombo n.k.Weka wazi mipaka yako mkuu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mwache ale mzigo
 
Wenzio wanatoa buku mbili tena mbinde mbinde wewe umetoa elfu 30 kilahisi sana
 
Huo mtego ndugu jitahidi kuepuka, yajayo kwako hayafurahishi maana ni hatariii
 
Aisee niki fikiria jinsi mafundi ujenzi wanavo kuaga na minguvu... naku sikitikia sana
 
We jamaa story yako inaendana endana na yangu,

Kuna mpangaji wangu mmoja mke wa mtu, ye alianza mara ooh nikudekie ndani, nikawa namruhusu, akawa anaosha vyombo, kuna siku wakati anadeki mi nilikua nimeenda dukani, ile kurudi nikakuta yupo chumbani anadeki bila ruhusa yangu. Hazikupita siku tatu akawa kishaumia
 
Yaani ule mke wa mwanaume mwenzio, unataka upigiwe makofi!? wanawake ambao hawajaolewa huwaoni? pambana tu na hali yako
Watu mnajidai watakatifuuu. Mbona mnakosa uthubutuuu? Sasa kama kwenye mambo madogo kama haya uthubutu unakosekana kwenye yale makubwa inakuaje... Haya baba chelewachelewa utakuta mwana si wako..
 
Unashindwaje kumuelewa?
Wewe ndio haueleweki, hujui unataka nn.Ume-intertain mazoea naye sana.

Kata mawasiliano naye, chai, kuoshewa vyombo n.k.Weka wazi mipaka yako mkuu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Hakuna kijana anayeweza hivyo ulivyotaja hapo mkuu labda awe khanisi
 
Back
Top Bottom