Huyo jamaa anakabutua yako kabibi sasa kamenogewa Karnataka kujenga himaya aweke mambo hadharani, jamaa anaona soo ndio akakueleza ili kujiwekea kiñga mapema
Hahaha..hii story nataka nijue maisha baada ya hapo mmeo na huyo bibi itakuaje....afu sijui ila nimeirelate hii issue na imani za kishirikina...subir lakini time will tell
teh teh teh nacheka si kwamba ni mazuri ujueeee ila mmmhhh mhhhhhhhhhhh!!!!
he he hee so hii niite survival for the fittest or struggle for existence? ??? wakati wa bibi ushapita babaa she cant compete wit a very younger girl wit blood boiling ..teh teh kizungu kilikuja na ndege ati
Bibi ana kiwi....
He!! kumbe wewe ni jinsia ke??? Ngoja kwanza....
Mdharau mwiba guu huota tende....jamaa kama hajapiga bibi basi siku si nyingi atapiga..
Umeambiwa hivyo hata ukija ukiona bibi analeta vituko ujue kuwa anamtaka jamaa usiwe na hofu wakat wao wana yao tayari
Jamani bibi na yy mtu ivo!!! Na anahaki ya kusema natamani.. Kwanza bb Hana tabu wala hakusumbui, sio ma Duu wenu BP mwanzo mwisho...