Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

unajifariji mumeo keshakula mzigo ndo maana akawa na confidence zote, ila anachofanya mumeo ni kujidifend mapema ili isiwe aibu

Opinions are not fact babu weeee!!!!!!!!!!! hayo ni maoni yakooooo.
 
Hayatuhusu. Kama huna topiki ya maana kaa kimya. Soma michango ya wenzako.
 
utani gani kabibi hadi kanarusha rusha miguu huku kanatanua mapaja nakupandisha nguo juu..????? maskini tupaja twenyewe tumejaa makunyanzi tuu na mashavu yametelemka kabisa yan ukute kana pepo sio bure!!!!!!!!!

Hayo mapaja aliyaonaje kama ya na mskunyanzi?
 
ondoa stress zako hapaa!!!!!! hayawahusu wee na nani???? kama hayakuhusu zip ur mouth ..
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!! Mie na wewe nani mwenye stress?? We si ndio umepata stress baada ya kuona bi mkubwa anataka kupakuliwa na boyfriend wako!!! Ukaona uje umalizie stress zako hapa!!! Narudia tena kwa herufi kubwa: HAYATUHUSU. KAMA HUNA TOPIC YA MAANA NYAMAZA KIMYA. SOMA MICHANGO YA MZEE MWANAKIJIJI
 
sio kila topic lazima ukoment...anyway kumbe nawew upo????? haya tushakuona...Ndo nishapost hivo na huwezi fanya chochote....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom