Simuelewi huyu bibi

Simuelewi huyu bibi

Kakudanganya! alikuwa story zimemuishia, chunga, huyo si mkweli. Maana hicho kisa hakiingi akilini, labda iwe huyo mama ni mwendawazimu.

huyo bibi akili zake zinamtosha mwenyew yan sijui ni fyatuuuuu sijui ndo kujichetua basi tabu tupuuu
 
mabibi wa mujini hawataniwi! jamaa akiitwa mchumba anaonyesha ushirikiano, bibi kaona ya nini kufa na kijiba cha roho! kavunja ukimya.
 
mabibi wa mujini hawataniwi! jamaa akiitwa mchumba anaonyesha ushirikiano, bibi kaona ya nini kufa na kijiba cha roho! kavunja ukimya.

angeenda kwa vibabu!
 
haya ndio matatizo ya utani wa kijinga nisio utakaga kabisaaa....
 
Gusa unate, Bibi ana uzoefu wa miaka 50 kwenye game
 
Yani bibi ndio anakutaka wewe au sijakufamu vizuri?

kweli hujanuielewa..bibi iko taka mume ya mimi ..bibi ana genye so kamwambia mume wangu amguseguse hata kwa mikono tu ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom