General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,121
- 2,296
Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku.
Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii baada ya ku wafollow motivational katika Inst na X. Simu imekuwa ikinipa aina ya Mazoezi ya kufanya kulingana na mahitajio.
Simu imenifanya nipate Ma daktari wa kiafya na kunipa muongozo wa maisha yangu ya kila siku katika chakula mpaka kulala. Simu imekuwa refreshing wakati wa kutazama warembo mbalimbali.
SIMU IME KUWA KIFAA CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YANGU KULIKO MWANAMKE.
ASANTENI