Simu gani ndiyo uliyoanzia nayo View attachment 900157
Wewe tuu ndio hujui kutumia simu mkuu, huko tumeshafika kitambo sana. Ukiwa kwenye eneo lolote unalotype bonyeza alama ya micMimi nilianzia hiyo ya kwanza (NOKIA).
Dunia yaenda kasi kiteknolojia miaka kadhaa ijayo huenda zikawepo simu za audio tu yaani unaongea inatype yenyewe meseji(NI IDEA TU).
anza kuingea na kila kitu kitajoandika mkuu. Kiingereza kinahusikaNumber 4,mwaka 2003 hyo sikununua mm, mzeee mdogo alinipa km zawadi alf nikaifanya kibanda cha simu nikatengeneza mkwanja htrSimu gani ndiyo uliyoanzia nayo View attachment 900157
Done gumba!Muhenga mm nilianza na siemens twanga pepeta enzi hizo watoto wajuzi sijui kama wanaijua
Cm yangu ya pili hio. Hapo kwenye chat haipo mkuu. Ilikuwa inaitwa Siemens Mayai!SIEMENS C45