Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

mi nlianza na nokia 3310 nikaja siemens 35A miaka ya 2004-2005
upande wa smart nlianza na asha 303 nikahamia android tecno P3..2012-2013
ila leo nimetulia na samsung J series
 
Nadhani umenielewa
IMG-20181013-WA0038.jpeg
 
Ya kupewa ya kwanza ni Nokia 1100, ya kwangu ya kununua mwenyewe ilikuwa Nokia E61i
 
Simu ya kuongea na kutype yenyewe tayari zipo.Nunua iPhone 7 Plus.Kama meseji yako unaiandika kwa English wewe dictate tu yenyewe itaandika
 
Back
Top Bottom