Mbwana mohamedi
Senior Member
- Aug 1, 2018
- 141
- 151
Kitambo mno nimeaza na Motorola 6
Kama hukutumia tritel nawe utakuwa wa jana tu.Mada yako imekosa head line ya kueleweka,,,
Simu yako ya kwanza kutumia ,,,
Alafu watoto wa juzi kaeni kando,,
Ungesema wahenga wenzangu weka hapa sim yako ya kwanza kutumia na ilikuwa mwaka gani?
Wahenga tungefunguka
Tumeanza na Erickson analog mwaka 1993 mobitel kabla ya ujio wa vodacom na celtel
Wanaosema wameanza na siemens c 25,; c 35,, A 36 motorola TID
Ni watoto wa juzi
Baada ya ujio wa vodacom na celtel..