Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Ericsson twanga pepeta


Sent from my EyePhone
 
Mi ni motorola jeneza, philips jeneza alafu ikafuatia trium, siemens c25 twanga pepeta na kuendelea...
 
Simu gani ndiyo uliyoanzia nayo
FB_IMG_15396914707340736.jpeg
 
Kwa button nimeanza na PHILIPS mkuu.

Smart TECNO ndo kanitoa ushamba kwa toleo lake pendwa la M3 Hakika nitaikumbuka sana
 
Back
Top Bottom