Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Sim zote nliumia a enzi hzo
Wakati huo nliuza sana sim Azam na salamander watoto wadogo humu hawawezi jua

Ova
 
Simu yangu ya kwanza ilikua alcatel, ilikua ina vibration ile balaa ikilia mpaka nlikua nataka kukimbia.
 
Yakhe mie nlianza na motorola enzi hizo miaka ya 2000,ilikuwa simu kubwa then nkamuuzia mtu akawa anaoigisha sh 300 kwa dakika 1
 
Kuongea na kutype simu yoyote yenye assistant inafanya kama google assistant, bixby, siri etc



Mimi nilitumia ya kwanza hapo tena nilinunua elf 20 kwa fundi ujenzi, hapo ni pocket money ya A level
 
Mimi nilianzia hiyo ya kwanza (NOKIA).

Dunia yaenda kasi kiteknolojia miaka kadhaa ijayo huenda zikawepo simu za audio tu yaani unaongea inatype yenyewe meseji(NI IDEA TU).
Blackberry wanayo hii huduma.
 
Back
Top Bottom