Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Motorola (6) baadae huwawei ilokua inatumia ttcl Tu.Smart huwawei 330.Nimerudi tena Motorola smart Kwa sasa.
 
Siemens, tena ilikufa speaker tu kasim kale nilikua nakadondosha toka juu kitandani double decker mpaka chini nikishuka narudishia mfuniko kako kama hakajaangushwa kamestahmil sana na had leo kama kakopo kabatini.
 
Mimi nilianzia hiyo ya kwanza (NOKIA).

Dunia yaenda kasi kiteknolojia miaka kadhaa ijayo huenda zikawepo simu za audio tu yaani unaongea inatype yenyewe meseji(NI IDEA TU).
 
Siemens C25
100px-Siemens_C25.jpg
 
Alcatel, Hata Aina Yake Sikumbuki, Maana Iliibwa Mapema Tu.
 
Phillips ya kidole, nilipewa na dada baada ya kuhongwa Nokia ya jeneza na mshkaji wake mwingine.
 
Back
Top Bottom