Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

Nilianza na nokia ringo 2 analogi nikaja nokia banana shape enzi ya tritel
 
I used NOKIA ya kufunua (sikumbuki no.) but yakufunua ng'aring'ri.
 
MOTOROLA mshindi haina line chaji ikiisha unatumia betri za redio, SAGMU kadogo. kamepinda,semens c25,a45. watu wakwanza kumi kumiliki sim PASIANSI MWANZA nami nilikuwemo
 
bird,nokia ndogo,sony erckson

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
whats the first mobile
phone brand you ever
used??
me: nokia 1600
you?

sijawahi kutumia mobile phone mpaka leo jamanii nakumbuka wakati watu wameanza kutumia mobile phones mimi nilinunua kalculator nikawa na mimi naonekana nina simu
 
sijawahi kutumia mobile phone mpaka leo jamanii nakumbuka wakati watu wameanza kutumia mobile phones mimi nilinunua kalculator nikawa na mimi naonekana nina simu

hahahahahaha. Wewewe
 
Back
Top Bottom