Simu ya wife

Simu ya wife

Watu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.

Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.

Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.
 
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".

Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI

NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?

!
!
Pole mno mkubwa......mie kabla sijawa bazazi siku moja nilikuta msg kama tatu hivi za kumsifia demu wangu (ambaye nilizaa nae mtoto) kuwa yu mtamu kwa bed na amemkubali mno. Sikusema lolote ila niliahidi kumlipizia. Kwa kuwa tulikuwa first year chuo na yeye alikuwa chuma cha ukweli nikajua nikimbwaga ingenisumbua kwani ningekuwa nakutana nae viwanja na ingeniuma. Nilijidai nampenda na kuwa nae mpaka tunamaliza chuo japo na mie nilikuwa napiga mechi za nje kiroho safi, then mwaka wa kwanza wa jobless wote nimemkaba miksa mpaka kwao wakanijua....Shenzy nilivyopata kazi nikamrushia zile meseji nilizinakili kwenye diary hadi jina la aliyetuma then nikammwaga kiroho mbaya wakati keshafubaa mbaya na hawezi kunidhuru tena. Roho yangu ikapoa ma@nina zake eti kwa hasira akaamua kuzaa na friend wangu nae akamzalisha akammwaga pia,nyambafu.
Tuliza boli mkubwa,jipange mlipizie na uhakikishe kaumia kweli.
 
asante! watoto 2 wananitosha acha nibadili tabia niwe mgongaji tu na kusomesha my 2/childs
 
hakuna haja ya kuoa kwa sababu hakuna kilicho ndani ya ndoa ambacho nje hakipo, ila vipo vingi nje ambavyo ndani havipo.
All in all natamani ingekuwa mimi ndio kaniletea huo udambu udambu mbona ningemshikisha adabu.....nimgemtengeneza mpaka akinikumbuka atamani kutapika,ningemuektia bonge la series ambalo producer na sterling ningekuwa mie mwenyewe lingeitwa "paybacktime kwa ma@nina bladful kenge manyoya"
 
Hata mimi nadhani ni wale wanaopenda matani ya kupitiliza wawapo makzini...

atakuwa tahahira kiasi gani mpaka a save jina la mchepuko njia kuu...

Kuna wengine wanaitumia hilo jina kuwaita mababu zao...

Kabla ya kuchukua uamuzi peleleza...

(ila mi siruhusu hubby amsave mtu yeyote kimahaba na simu napekenyua any time t..)
Tulia hilo jina sio la mwizi, ni joker. Mie mwenyewe kuna wadada nimewasave honey lakini ni washikaji tu. Namba za wezi siku hizi zinakaa kichwani hazisaviwi kwenye simu wewe. Sana sana huyo ni mlinzi wako indirectly.
 
Watu tukiamua kuacha kuoa na tukawa mabazazi watu wanatulaumu.

Matukio kama haya na mengine mengi nayoyajua yanazidi kuipa nguvu hoja yangu ya kutokuoa.

Huyo mwanamke muache,haina maana kuishi na mwanamke mjinga namna hiyo.
Usichelewe kupeleka ng'ombe machungani kwani upende usipende utawatoa tu waende malishoni ili watu wanywe maziwa hivyo usijiulize sana kikubwa vuta jiko tu
 
Acha hizo bana...
Zaidi ya hiyo number kuna dalili zozote za penzi lake kwako kuchuja...?
Wewe chukua ushauri humu JF bila kuchanganya na zako uone kama dunia hutaiona chungu...

asante! watoto 2 wananitosha acha nibadili tabia niwe mgongaji tu na kusomesha my 2/childs
 
asante! watoto 2 wananitosha acha nibadili tabia niwe mgongaji tu na kusomesha my 2/childs

Utagonga mpaka lini mkuu maana sura ikianza kuwa na makunyanzi tu na ngozi ya viwiko vya mkono kuanza kukakamaa plus kama huna cash ya kutosha utaishia kuangalia tu, kikubwa ni kujifanyia tathimini wewe mwenyewe kwanza je huchepuki kwa wanawake wengine na kama unachepuka mkeo unamtuliza vipi kitandani maana wakati mwingine unaweza ukalalamika ana mchepuko alafu wewe mwenyewe nguvu unazimalizia kwingine mkeo unamfanya wa kukumbatia tu na yeye amekuja kwako sio kufuata nyumba yako au kula kwani hata kwao alikuwa anavipata hivyo kilichomleta kwako ni kwichikwichi na kujenga familia
 
Crocodiletooth, piga mikanda hadi aseme kwa nini kahalalisha kidume mwingine na kumwita "mumewangu", piga mikanda ya uhakika hadi pa.puchi ipwite. Hiyo ni dharau kubwa sana...
..then rudisha nyumbani akafindishwe kubana miguu coz kazoea kuipanua ovyo..!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli ukutane na incident kama hiyo alafu fasta uje kuanzisha thread hapa jf!!
Thubutu!!
 
Wana jf leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika,leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni,kilicho nisitua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu"hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?

Mkuu pole..Next time don't try pressure za bure kama wife umechoka humtakitena angalia simu yake..Watu wote hakuna mtu aso cheat u just got to be smartass not to get caught with some shit
 
pole sana kaka..kuwa mpole mpaka upate full data za hiyo namba...ndo uamue kusuka au kunyoa...
 
Usichelewe kupeleka ng'ombe machungani kwani upende usipende utawatoa tu waende malishoni ili watu wanywe maziwa hivyo usijiulize sana kikubwa vuta jiko tu

Jadoki kama jina la kiomera hivi? Mkuu kauli yako imeniogopesha,kwamba nipende nisipende ntaoa tu! Una maana gani?
 
au kamsevia shoga yake asiye na simu..................tehe tehe tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom