Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

Unajua ni nini kaka masai shida huwa inaanzia kwenu kwa sababu mara nyingi ndio mnaofanya simu tusizishike kwa sababu hebu chukulia kila siku nikiishika na kutana na vitu ambavyo wewe kama wewe huwezi kunyoosha maneno nikaelewa.

Ndio mana huwa tunajiamulia kutoishika ili kupata amani ya moyo na kama mimi yangu haina mipaka na ya mwenzangu hajanikataza kuishika ila nimejikataza mwenyewe baada ya kujiona siishi kusononeka.
[emoji122] [emoji122]
 
Yaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.

Emmyta

Hapo palipokolezwa umemaliza kila kitu. Kwa hiyo unaogopa kukutana na wizi uliowahi kukutana nao. Hivyo unamwachia mwizi mwanya mzuri wa kuendelea kukuibia vizuri.

Uchaguzi wenu wa kudeal na hili tatizo nimeupenda maana mwizi unamjua na wizi wake unaujua na hauna cha kumfanya hivyo bora umwache tu.
Ndiwoooo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mh we una matatizo! Kama unampenda sana ni lazima ukague cm yake ili ujue msimamo wake kwako.we ni big boss unaogopa nn kukagua cm yake? Tena na kila mamba anatakiwa akueleze mwenyewe ni ya nani na anawasliana nae kwaajili ya nini! Lazima utawale uwanja mkuu
 
Ilo ndio lamsingi kila mtu abaki nayakwake aithee mbona safityuuu
 
Yaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.

Emmyta

Hapo palipokolezwa umemaliza kila kitu. Kwa hiyo unaogopa kukutana na wizi uliowahi kukutana nao. Hivyo unamwachia mwizi mwanya mzuri wa kuendelea kukuibia vizuri.

Uchaguzi wenu wa kudeal na hili tatizo nimeupenda maana mwizi unamjua na wizi wake unaujua na hauna cha kumfanya hivyo bora umwache tu.

Katika hali ya kawaida kaka masai hebu vaa uhusika sasa wewe ndio mimi na huyo mwizi unayemsema umeshamjua wizi wake mbali ya kuacha kuishika simu, ungefanya njia gani ya tofauti?

Sema tu tupate faida. [emoji124]
 
Mh we una matatizo! Kama unampenda sana ni lazima ukague cm yake ili ujue msimamo wake kwako.we ni big boss unaogopa nn kukagua cm yake? Tena na kila mamba anatakiwa akueleze mwenyewe ni ya nani na anawasliana nae kwaajili ya nini! Lazima utawale uwanja mkuu
Hapana aiseeh hivyo vitu vinipitie kushoto sitaki wala siwezi
 
Katika hali ya kawaida kaka masai hebu vaa uhusika sasa wewe ndio mimi na huyo mwizi unayemsema umeshamjua wizi wake mbali ya kuacha kuishika simu, ungefanya njia gani ya tofauti?

Sema tu tupate faida. [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa kweli naomba na naomba nisivae uhusika wa jinsia yenu. Labda nimwite Heaven Sent ahitimishe tu.
 
Mh we una matatizo! Kama unampenda sana ni lazima ukague cm yake ili ujue msimamo wake kwako.we ni big boss unaogopa nn kukagua cm yake? Tena na kila mamba anatakiwa akueleze mwenyewe ni ya nani na anawasliana nae kwaajili ya nini! Lazima utawale uwanja mkuu
Nampenda sana ndio mana sitaki kushika simu yake
 
basi tulikuwa wote ndugu mwanzoni nilikua napata shida sana jaman yaan nikiona simu yake hapo naitamani halaf mwisho ninayokutana nayo navimba nalia aisee ila sasa hivi aache simu yake hapo atakutana na missed calls zake na text
Hongera sana. Umri unasonga na akili inakomaa. Relax, presha za nini wakati hakuna unachoweza kuzuia? Good move
 
Mimi wakwangu ilikua ugomvi sio wa nchi hii ukishika simu yake ina password mpk majina nilichoamua yakwangu na mm nikaweka password alafu nikawa yake siishiki kabisa unajua kilichotokea yeye akaanza kuwa na hasira bila sababu akirudi atatafuta sababu tu akikupigia mara moja usipopokea ananuna na maneno kibao nina mabwana namdharau siku ndio akashindwa kuvumilia ananilazimisha nitoe simu password la sivyo ataivunja nilicheka kimoyomoyo nikamwambia kila mtu akae na simu yake hana amani na mimi mpk leo anadai na msaliti
 
Back
Top Bottom