Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

International roming kwa sana. Hakuna tija kuwa na Mawaziri wa aina hii maana hakuna kilichopatika kwa matumizi makubwa kiasi hicho

Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.

Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.

Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.

either way i smell errors kwenye hiyo invoice.
 
Habari kama hizi ndio maana wameleta sheria kali za mitandao!
Kama ni uongo imekula kwako
 
Nilipokuona nikajua unatokwa na povu kumtetetea ..... KULA TANO!
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.
 
Izo figure sio realistic sema kuna hela inataka kupigwa hapo. Maana milioni 25 kwa miezi miwili, kwa mwezi ametumia mil 12.5 kwa maana alitumia zaidi ya laki nne kwa siku. Unaongea madudu gani kwenye simu hadi utumie laki nne kwa siku?
 
Mhhhh me mvuja jasho nimesoma taarifa hii mpaka imenichosha!! Kama ni ya ukweli basi inaumiza sana. Anyway change ya kiutawala dhalimu kama huu ni muhimu kwa maslahi ya watanzania!!
 
We mtu mbona elimu yako ni ndogo sana? Yaonekqna hata kujifunza huwezi kabisa!
Unawezaje kusema kazi ya polisi ni ku terrorise mwizi? Wapi ulihudhulia mafunzo ya polisi yanayoeleza uchafu wa aina hiyo? Kunterrorise!

Sasa utakuta li mtu la aina hii limepewa cheo kama huyo Hawa ambaye elimu yake ni duni, uwezo wake duni na anajifahamu kabisa alipewa nafasi kubwa kuliko uwezo wake. Ana ulimbukeni wa ajabu kabisa! Nilimsikia pale mlimani akishindwa hata kusoma aliyoandikiwa!

Ikiwa mwizi atamuona polisi na huyo mwizi hawi terrorized basi huyo polisi atakuwa na walakin.

Unaonesha hata maana ya terror huijui. Hujui nini kuwa terrified? Pole sana.

Hivi shule mlienda kusomea ujinga?
 
JK atamchekea na jioni watagonga msosi pamoja kama kawaida,
ndiyo maana wananchi wamekata tamaa na viongozi hawa
 
Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.

Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.

Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.

either way i smell errors kwenye hiyo invoice.

Jibu lipo apa apa
 
Huyu mama amebaki kwenye nafasi hii kwa sababu ya ushirikina na hakuna kingine
 
Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.


Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.


Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.


either way i smell errors kwenye hiyo invoice.


That is pretending to mean that we have sophiscated ministers, Always connected to the outer world for official interaction. Hali halisi haiko hivyo. Hatuna minister wa aina hiyo nchi hii na hata kama yupo, it simply can't be accepted. Hata kama wamejiwekea sheria ya aina hiyo labda kwa taifa la washenzi.

Unakumbuka Tory MP pale UK walivyoambiwa kurejesha pesa zilizotumika kununua chakula cha mbwa? Pesa walipewa kihalali, lakini hazikutumika kistaarabu. Then, kama ni kweli kiumbe wetu atasema alikuwa nje, ndani, kusini, kaskazini au eti nilizungumza na rais kwa wilki nzima, etc. it will simply be stupidity.
 
milioni 25,ina maana yeye hatumii yatosha?.maana kwa pesa hiyo,ina maana anaongea mda wote wala hana mda wa kulala hata sekunde

Mkuu wenzio wanapiga simu za nje ya nchi pia; si za ndani tu. Yatosha haitoki nje.

Kwanza ni wangapi wanaolipiwa simu na waajiri wanajali kubana matumizi?! Machungu ya bili atajua atakapostaafu!
 
Mleta mada angefuatilia kujua katika kipindi hicho kulukuwa na shughuli zipi muhimu zikiendelea. Ni wazi kwa ukubwa na unyeti wa wizara yake atatumia simu sana ndani na nje ya nchi.

Binafsi nimetumia post paid nikifanya kazi kampuni moja kubwa kwa nafasi ya meneja bill kwa masuala ya kiofisi kwa mwezi niliweza kutumia zaidi ya laki tano wakati fulani hapo sijafanya teleconference. Sasa kwa kazi ya Ghasia binafsi sioni kama ni hoja.
 
Hapo Mwizi ni Hawa Ghasia ama Mtandao wa Airtel? Hao Airtel wanalipa kiasi gani cha kodi?... Tuache hisia tuangalie haya mambo kwa mapana yake!!!
KUNA mchwa ndani ya Serikali ya Rais Jakaya Kikwete. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Abdulrahman Ghasia (49), ni miongoni mwa wanaotafuna fedha za umma serikalini, mithili ya mchwa.


Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea).
Katika kipindi kisichozidi siku 52, Ghasia ametumia kiasi cha Sh. 25.8 milioni kwa matumizi yake ya simu ya mkononi, tena kupitia kampuni moja ya Airtel.
​

Taarifa hizi za waziri kutumia kiasi cha Sh. 25.8 milioni kwa matumizi ya simu moja ya mkononi, ndani ya muda usiofikia miezi miwili, zinafichuka katika kipindi ambacho serikali imekuwa ikitumia nguvu kukusanya michango kutoka kwa wananchi.


Michango mingi ambayo serikali imekuwa ikikusanya, ni ile ya maabara kwenye shule za kata, madawati, ununuzi wa vitabu, madaftari na ujenzi wa nyumba za walimu na madarasa.


Taarifa zinasema, katika maeneo mengi, maagizo ya serikali, yaliambatana na vitisho, huku baadhi ya walioshindwa kutoa michango hiyo wakifikishwa mahakamani na kufungwa.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya serikali na kampuni ya Aitel Tanzania Limited, waziri Ghasia ametumia mamilioni hayo ya shilingi kwa mawasiliano kati ya tarehe 1 Februari na 21 Machi mwaka huu.


“Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya serikali hii. Taifa masikini kama hili, kuna viongozi wanaotumia kiasi cha Sh. 25 milioni kwa simu. Kwa kweli, umasikini tulionao ni wa kujitakia,” ameeleza Juma Said, mkaazi wa Kinondoni na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii.


Nyaraka (Invoice) kutoka Aitel inamuonyesha Ghasia alipewa ankara ya malipo ya tarehe 1 Februri 2015, yenye Na. 29906000001374, ikielekeza serikali – Tamisemi – kulipa kwa kampuni hiyo, jumla ya Sh. 25,878,335.86.


Kwa mujibu wa nyaraka hizo, Ghasia amejitambulisha kuwa ni waziri wa Tamisemi. Anatumia anuani ya S.L.P 23, jijini Dar es Salaam; huku namba ya mteja – Customer Id – ikitajwa kuwa 1219937034.


Ghasia anatumia namba ya mlipa kodi (TIN) TIN: 100-961.520.


-----------Online linaweza kuripoti kuwa kila mwaka serikali inatumia mabilioni ya shilingi kwa njia za anasa, ikiwamo malipo ya simu, usafiri, nguo na fenicha za ndani, badala ya fedha hizo kuwekezwa kwenye maendeleo.
 
Errors huwa zinatokea, tumpe benefit of doubt, nilishawahi letewa bili ya umeme kwa mwezi milioni moja, wakati sina kiwanda wala mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.
 
Dah kama taarifa hii ni ya kweli basi viongozi wetu wana dhambi kubwa mno! hv unajua huku barabarani kuna kina mama wanafiwa na watoto zao kwa kutokumudu gharama za matibabu! kwa magonjwa ya kawaida kabisa ikiwemo malaria. Ila najua kuna siku ya mabadiriko makubwa sana inakuja.
 
Mleta mada angefuatilia kujua katika kipindi hicho kulukuwa na shughuli zipi muhimu zikiendelea. Ni wazi kwa ukubwa na unyeti wa wizara yake atatumia simu sana ndani na nje ya nchi.

Binafsi nimetumia post paid nikifanya kazi kampuni moja kubwa kwa nafasi ya meneja bill kwa masuala ya kiofisi kwa mwezi niliweza kutumia zaidi ya laki tano wakati fulani hapo sijafanya teleconference. Sasa kwa kazi ya Ghasia binafsi sioni kama ni hoja.
 
Izo figure sio realistic sema kuna hela inataka kupigwa hapo. Maana milioni 25 kwa miezi miwili, kwa mwezi ametumia mil 12.5 kwa maana alitumia zaidi ya laki nne kwa siku. Unaongea madudu gani kwenye simu hadi utumie laki nne kwa siku?

Alikodisha mnara!
 
Khaaaaaa 25m kwa simu? manina wallahi analipia bili ya jimbo lake lote au simu moja tu? hiyo simu inashinda na kulala kwenye charge? na yeye je analala kweli? manake hiyo bill lazima uwe unaongea non stop masaa 25 kwa siku tena kwa kupiga simu nje ya nchi
 
Back
Top Bottom