Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Iweke sokoni tu hyo simu alafu nunua nyingne ambayo itakuwa na kamera nzuri maana kwa huu wakati tulionao. Kamera na storage ni muhimu sna kwnye simu ,huwezi. Kuwa na samsung alafu unatiwa gap kwenye kamera na akina tekno na ndugu yake infinix ni jau sana
Sorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350k
 
Sorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350k
kwa pesa hyo unapata Tecno na infinx mpya kabisa lakin pia kama mdau wa simu za mkononi unapata samsung kali tu
 
Back
Top Bottom