Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Simu zinakuja na kuondoka. Binafsi nimetumia simu nyingi sana. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola, mwaka 1996, service provider wangu alikuwa Tritel.
Lakini katika simu zote ambayo nilizama nayo penzini kwa dhati ilikuwa Nokia Lumia 1020, hiyo ilikuwa 2012.
Hadi leo sijaona mwamba wa kulitikisa jabali lile.
Let's share the experience
Sim niliyotokea kuipenda sana ni
HTC ONE M9

Hii niliikubali sana.
 
BlackBerry Bold 9930 . Enzi izo BBM iko moto balaaaa ..watoto wazuri wotee wana blackberry .. utaskia coco ping !!!

Yani ni kama saivi mtu awe na iPhone 12
 
Simu yangu ya kwanza ilikua Motorola bapa, nilipewa zawadi ya simu pamoja na mpira kutoka kwa beberu mmoja hivi kwa kipindi hicho kijiji kizima mwenye simu kali ni mimi hapo nipo darasa la saba...walimu, wanafunzi wao, Afisa Elimu Kata, Wauguzi katika kituo cha Afya wote walipata habari za simu hii. I was a celebrity...
View attachment 1631960

NB: Mabeberu walishatuzoesha na misaada toka tupo underground. Hii ni vita ya kiuchumi ndugu zangu katika kuelekea dona kantri.
Nilipewa na bro 2006 baada ya kufaulu o level. Hivi naweza pata wapi siku hizi
 
Nilipewa na bro 2006 baada ya kufaulu o level. Hivi naweza pata wapi siku hizi
Hivi karibuni Motorola walikua wanapanga kuirudisha hii simu sokoni ikiwa imeboreshwa zaidi ni moja ya matoleo ya simu zao ambazo zilifanya vizuri sana sokoni
 
Simu zinakuja na kuondoka. Binafsi nimetumia simu nyingi sana. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola, mwaka 1996, service provider wangu alikuwa Tritel.

Lakini katika simu zote ambayo nilizama nayo penzini kwa dhati ilikuwa Nokia Lumia 1020, hiyo ilikuwa 2012. Hadi leo sijaona mwamba wa kulitikisa jabali lile.

Let's share the experience
Nokia 3310, ilikuwa simu nzuri sana
 
Huu mzigo jamaa angu mmoja alinunua ikawa inamshinda baadhi setting ivo akaniambia nikaichek kwenda nakutana na huyu mnyama.

Nikamwambia niuzie akagoma.

Mnyama hatari sanaa iphone hapa ni mbulura tu.
Napenda Sana blackberry nimezitumia nyingi curve,storm,z10 natamani Sana passport blackberry ni mashine
 
Simu yangu ya kwanza ilikua Motorola bapa, nilipewa zawadi ya simu pamoja na mpira kutoka kwa beberu mmoja hivi kwa kipindi hicho kijiji kizima mwenye simu kali ni mimi hapo nipo darasa la saba...walimu, wanafunzi wao, Afisa Elimu Kata, Wauguzi katika kituo cha Afya wote walipata habari za simu hii. I was a celebrity...
View attachment 1631960

NB: Mabeberu walishatuzoesha na misaada toka tupo underground. Hii ni vita ya kiuchumi ndugu zangu katika kuelekea dona kantri.
Hivi bado zipo?
 
Hii hapa
Imeweka rekodi kwa kuuzwa sana
 
Attachments

  • 16061534857275302112979758124740.gif
    16061534857275302112979758124740.gif
    7.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom