project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,166
- 1,532
Philips Orange Savy.. Noma sana huyo mnyama,, mamdogo alinilazimisha tubadilishane na Siemens yake sababu ya mtandaoPhilips na mkonga wake hiyo ilikuwa hamna haja ya kutafuta mtandao bali mtandao unakutafuta wewe.
Sorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350kIweke sokoni tu hyo simu alafu nunua nyingne ambayo itakuwa na kamera nzuri maana kwa huu wakati tulionao. Kamera na storage ni muhimu sna kwnye simu ,huwezi. Kuwa na samsung alafu unatiwa gap kwenye kamera na akina tekno na ndugu yake infinix ni jau sana
Simu gani ulitumia na kuikubali sana maMtumishi?Uzi mzuri sana uu
Nokia 2100Simu gani ulitumia na kuikubali sana maMtumishi?
Sasa kuna Porche Design imetoka ya mwaka huu, kuna Key 3 faza ni kisangaHuu mzigo jamaa angu mmoja alinunua ikawa inamshinda baadhi setting ivo akaniambia nikaichek kwenda nakutana na huyu mnyama.
Nikamwambia niuzie akagoma.
Mnyama hatari sanaa iphone hapa ni mbulura tu.
Ikoje hyo simuLenovo kwa upande wa smartphone,sijui ilinifanyaje
Aiseeh!Blackberry, na hapa natumia Z10. Ingawa ni ya kizamani ila nafurahia sana
kwa pesa hyo unapata Tecno na infinx mpya kabisa lakin pia kama mdau wa simu za mkononi unapata samsung kali tuSorry Chief Hivi naweza pata simu gani yenye storage kuanzia Gb 32 nakuendelea pia yenye clear camera bajeti icheze 350k
Hivyo vidole babaView attachment 1632017
je hii picha imepigwa na camera ya simu gani?
Talk of blackberry passport bro.Aiseeh