Simu mpya za Iphone 7, Plus zina matatizo ya Bluetooth, LTE hazipandishi Network

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu simu hizo zimekuwa na matatizo ya kutokusoma line na bluetooth kutokufanya kazi pia. wateja wengi wameripoti matatizo hayo kwa wahusika na nia za kutatua tatizo hilo zinatafutwa pamoja na kutolewa ushauri wa awali.
Binafsi sijajua matatizo hayo yatapatiwa ufumbuzi au simu zitarudishwa Apple.
Source please
 
fans wa Tecno mnachekesha sana, humu ndani kuna rundo LA watu wa tecno wanaomba msaada ila hata siku moja hawajitokezi kwenye zile thread za matatizo, ila wakisikia simu nyengine INA matatizo hao mbio mbio wanaenda kuponda.

Tecno C9 mpya kabisa kale kaugonjwa Ka virusi na matangazo na picha za ngono tayari sababu ya loophole za mediatek.

https://www.jamiiforums.com/threads/simu-yangu-inaandika-click-exit-please-halafu-inazima.1127282

ukinunua simu ya kampuni kubwa kila tatizo linalotokea ni juu yao watakutengenezea bure na pindi simu inatengenezwa unapewa replacement unit.
 
Soma hizo link vizuri na kama huelewi usisite kuomba msaada kwa wanaojua hiyo lugha au we ulisoma vichwa vya habari na kuja kupost hapa!?
Mfano kwenye link moja hapo imeandikwa hivi

"Today appears to be Connectivity Issues Day for the iPhone 7, as another round of complaints have surfaced, this time focusing on network connectivity.

It appears that an increasing number of subscribers to Verizon Wireless are suffering from some LTE connectivity issues with their iPhone 7 and iPhone 7 Plus units. Specifically, according to the reports from owners, their device will unexpectedly, and several times throughout the day, just drop the device’s connection to the LTE network"

Na hizo link zina the same content katika websites tofauti
 
Pia hata mleta thread kakurupuka, kuna link kanitumia baada ya kuomba source ya habari, yaani hawa watu wa tecno sijui wana matatizo gani
 
Soma hizo link vizuri na kama huelewi usisite kuomba msaada kwa wanaojua hiyo lugha au we ulisoma vichwa vya habari na kuja kupost hapa!?
Mfano kwenye link moja hapo imeandikwa hivi

"Today appears to be Connectivity Issues Day for the iPhone 7, as another round of complaints have surfaced, this time focusing on network connectivity.

It appears that an increasing number of subscribers to Verizon Wireless are suffering from some LTE connectivity issues with their iPhone 7 and iPhone 7 Plus units. Specifically, according to the reports from owners, their device will unexpectedly, and several times throughout the day, just drop the device’s connection to the LTE network"

Na hizo link zina the same content katika websites tofauti
Mungu anakuona
 
Mmmmmh sasa wote mmepotea hivi kwa front camera nani anampat LUMIA 535 NI hatariii
 
Hahaha Tecno wana invest kwenye camera tu, washajua watoto wa kike wanapenda selfie basi wanaongeza tu Megapixel za front camera. Saiv wametoa sim front camera ina megapixel 20[emoji23][emoji23]
duh!! 20 megapixels simu gani hiyo??
 
fans wa Tecno mnachekesha sana, humu ndani kuna rundo LA watu wa tecno wanaomba msaada ila hata siku moja hawajitokezi kwenye zile thread za matatizo, ila wakisikia simu nyengine INA matatizo hao mbio mbio wanaenda kuponda.

Tecno C9 mpya kabisa kale kaugonjwa Ka virusi na matangazo na picha za ngono tayari sababu ya loophole za mediatek.

Simu yangu inaandika "Click exit please" halafu inazima

ukinunua simu ya kampuni kubwa kila tatizo linalotokea ni juu yao watakutengenezea bure na pindi simu inatengenezwa unapewa replacement unit.
NI KWELI CHIEF AKATI SIE JUKWAANI TUKIENJOY UPDATES MBALI MBALI NA KUPEANA TU MAUJANJA YA KUA KIPI KINAFANYA NINI KWENYE SIMU FLANI WAO WANAKUJA THREADZA OVYO MARA DISPLAY IMEFANYA HIKI MARA SIMU INAJIZIMA YENYEWE ,MARA SIJUI NINI TEAM TEKNO MNABOA SANA AISEE .HUEZI AMINI NISIVYOWAPENDA JANA TU NIMEOKOTA C8 INAONYESHA NI MPYA KABISA NIMEAMUA IGAWA TU KWA MDOGO WANGU WA KITAA HAPA
 
Back
Top Bottom