Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Tecno ndio habari ya mjini mkuu, hizo zingine ni porojo tu
 
sasa hivi Huawei na xiaomi wapo kwenye mazungumzo wauze simu zao usa na mitandao kama Verizon na AT&T, huawei ana visimu vidogo tu anauza tena kupitia site za online kama bestbuy na amazon huwezi kuta kwenye mitandao ya simu flagship za huawei ama xiaomi.

kama nadanganya lete ushahidi.

mimi ushahidi wangu huu hapa

Huawei and Xiaomi are trying to forge carrier partnerships and enter the US market
Mkuu Chief-Mkwawa naomba nitajie smartphone inayokaa na chaji kwa sasa,angalau siku mbili au tatu kwa matumizi ya ubize mda hasa wote, hasa kuongea.
 
Laki 5


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Na wewe pia unaangalia kupiga simu kama kigezo cha ukaaji chaji?

Kwa budget ya laki 5.
-Moto G9 power inakaa masaa 60 ya kupiga chaji mfululizo Sema ni ya kuagizishia nje.

-Xiaomi redmi 9T inakaa na chaji masaa 49 mfululizo ya kupiga simu, inapatikana Kenya kwa Bei rahisi na Tigo shop kwa Around hio Budget.
 
Laki 4.5 mpaka 5.
Jamaa nimemjibu hapo, Moto G9 power ama Xiaomi Redmi 9T uhakika zote mbili zitakaa siku 3 kwa heavy use za kupiga simu.

Hio G9 ukisubiria offer huwa ina shuka Mara kwa Mara chini ya laki 4.

Na 9T Angalia tigo shop Sema bei kidogo kwa Kenya around 350k.
 
Back
Top Bottom