Simu iliyobadilisha maisha yangu

Hapo sikubaliani na wewe kabisa

kama huyo mwanaume kaona kuna sababu kwa nini asimwambie mkewe kuwa kuna mapungufu haya na haya

Mpaka mwanamke aanze kuhisi labda hiki ama kile

kwa nini lakini?????????????????

Hatufanani ktk maamuzi, kila mtu hufanya analoamini kuwa ni sahihi. Ndio maana mwingine akiachwa anajiua wkt Wewe unamshangaa yeye aliona anajitendea haki.
 
@Theodora please niko chini ya miguu yako tafadhari usimuache mumeo anakupenda bado, you know what?A man can differentiate between Love and sex,hapo alienda kkufuata tu "hanjamu" ya kuonja and finally the dude realised his mistake ,achana na hilo gumegume jitu zima linalong'ang'ania waume za watu tena muepuka huyo amekuingiza kwenye mtego
 
Really BAK?

Yaani unataka amsamehe halafu aendelee kuishi na huyo mume mzinzi?

Wewe ukigundua mkeo anamegwa na mtu mwingine utamsamehe tu na kuendelea na maisha yeu?

Kama ni hivyo kweli watu mna moyo!
Mhe. Naomba nikuulize kama wewe ni me au Ke?
 
Akina mama wengi wangejua hilo, wasingeteseka. Masikini haelewi at time t unaweza kuwa diamond na baada ya sekunde moja ukawa ni stone

.....

Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?
 
Kwa nn mme wako alienda nje ya ndoa?Rekebisha kasoro hizo then msamehe mmeo maana mpinzani wako hayupo tena na mmeo!

Acheni mambo haya yenu ya kizungu ya kumpimia mme round za kitandani bana!

Judge not. Ukifuatilia maelezo yng nimefupisha lkn this is not the first time...sababu iliyonipelekea kupata depression. Hii nimeelezea maana nimechoka.
 
Mimi ni mwanaume na niko kwenye ndoa,. Kiukweli ingekuwa ni mara ya kwanza ningeweza kukushauri kuwa usifikirie sana kuachana, ingawa siwezi kusema kama mimi ningefanyiwa na m/mke hayo ningeamua hivyo pia. Lakini kwa kuwa amekutesa sana bila kukuambia kosa lako, ameshakupa hadi depression, nawaza kuwa anaweza kukuambukiza na magonjwa yasiyotibika. Hapa sasa ni kuamua unachoona sahihi, ntakusupport kwa decision yoyote ili mradi huwezi kuijutia na utakuwa na amani baada ya hapo. Maisha ndio haya, hakuna mengine, jali sana furaha yako. Isije ukaishi ukawa unajilazimisha kukaa kwenye ndoa lakini maisha ni tabu tu miaka yote. Narudia tu cha muhimu ni kufanya maamuzi ambayo hutajutia lakini hali ilipofikia naona hata kumuacha ni valid option.
 
kama alipanga kukudanganya atakudanganya tu!!!!
ni bora uendelee na assumption zako tu!!!!
 
Watu wengine humu JF ni theorists au wabinafsi (yeye akishiba anadhani na mwenzake kashiba- hili ni kwa pande zote mbili). Kitendo cha mtu aliyefunga ndoa kuchepuka si jambo rahisi. Chanzo chake ukichunguza ni hili suala la mmoja kutokuwa na hamu ya 6x6. Nimechoka ikizidi husababisha madhara makubwa katika ndoa.
 
kuna wanawake walioolewa nao wanapitia adha hiyo hiyo. Mume yuko busy, kazi pombe na washkaji. Lakini wamama wanavumilia na kujichua, huku wanaona aibu kukiri hadharani kuwa huwa wanajichua!!!

Kuna cheaters kazi yao ni kusaka excuses tu. Huyo mke wa rafikiyo si ajabu anaona aibu kumuambia mumewe haunifikishi. Hivi chakula kizuri, kitamu unacho halafu mke adengue? Wapi bwana, ukinyimwa na ww uwe unajipanga bwana
 
Ndio maana wenzetu weupe ukileta za kuleta divoce halali yako hakuna kuzunguka zunguka . Huku kwetu watu wanaishi kwa kuumizana kisa kutunza watoto au sijui kuilea ndoa au jamii itakuonaje. For me I would rather divoce kuliko kuishi ktk hali hiyo. Unajua ndoa huvunjika mara tu mmoja wa wanandoa anapokosa uaminifu hata kama watu hao wataish kwa kuvumiliana lkn kiuhalisia ndoa huwa imeshavunjika.
 
Judge not. Ukifuatilia maelezo yng nimefupisha lkn this is not the first time...sababu iliyonipelekea kupata depression. Hii nimeelezea maana nimechoka.
Pole rafiki that guy ni muuaji
 
Reactions: BAK

Daah...ama umejua kulibinua swali....kama jibu la swali lako jipya likawa ndio, je ina maana assumption inakuwa huyo ndio uliyeandikiwa na Bwana?
 

Mko wawili tu unataka kukimbia... Hapa mjini kwa wastani ni 3-4 kwa mwanaume mmoja... And you can't run away from love, because running is decided by your fore brain, while loving is controlled by your mid brain...
 
​Maybe, but I am not 100% sure.

Daah...ama umejua kulibinua swali....kama jibu la swali lako jipya likawa ndio, je ina maana assumption inakuwa huyo ndio uliyeandikiwa na Bwana?
 
Sikubaliani na kuwaacha hivi hivi watu kama huyo mama aliyedhamiria kukuumiza makusudi tena baada ya kukutendea ubaya.

Hata kama namuachia mume, kama mie ntalia yeye aomboleze.

Dada Theodora kwa uamuzi wowote utakaochukua, hakikisha unabaki kuwa mshindi. Yaani ujisikie umeshinda, uishi kama mshindi na maisha yako yaseme hukukosea. Hakuna sababu ya kutumia dawa tena, we sio mzinzi, ni wao. Be the queen of your choices, enjoy
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya ndoa haya....hatari sana!!!

Ila swali kwa waliooa na kuolewa, je unadhani mtu uliyenaye ndiye mtu sahihi uliyeandikiwa na Maulana?

Kumbe na kugawa mpenzi/mume/mke ni kazi ya Maulana?
 
Aiseee........ni ngumu kumeza
Pole sana dia wangu
 

Ukweli nilimwachia mume, huo ulikuwa ni ushindi kwangu maana nilivumilia muda mrefu, na alidhani kwa hili pia nitamsamehe. Nadhani sugamama anajua ameshinda but believe me kwenye vita vya kiroho she is far from it...
 
Ukweli nilimwachia mume, huo ulikuwa ni ushindi kwangu maana nilivumilia muda mrefu, na alidhani kwa hili pia nitamsamehe. Nadhani sugamama anajua ameshinda but believe me kwenye vita vya kiroho she is far from it...

Hongera! Kila la heri kwenye hatua mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…