Simu iliyobadilisha maisha yangu

Simu iliyobadilisha maisha yangu

Mzima Ablessed? Nimefurahi kukuona maana busara na hekima zako tulizikosa hapa jamvini. Natumai kila kitu kiko bomba.
Unajua inauma sana kuona jamii yetu haibadiliki sijui kwanini. Kuna maneno ya kutiana moyo kama vile ndoa ndoano, vumilia au ndoa ndivyo zilivyo kitu ambacho si kweli ndoa haziko hivyo. Ziko ndoa nyingi tu watu wanaheshimiana na kuthaminiana na tena neno kukosa uaminifu halipo miongoni mwao. Unajua ni kama mtu anaeishi karibu na vilabu vya pombe au sehemu wanazopika pombe . Huyo ukimuuliza jamii yetu ikoje atakuambia watu wote walevi kumbe si kweli ni kwasababu yeye mlevi ndio maana anaona aonavyo.

Matokeo ya hii mitazamo ni mmoja wa wanandoa anaishi jela huku huyu mwingine anatanua kwa kigezo cha udhaifu. So namuonea huruma bidada
 
#Theo , unayoona au kudhani ni dhahabu haiwi kweli kwa kila mtu. Mmeo mpaka kutoka nje kuna 7bu. If you care, tafiti kisha tenda kurekebisha.
 
Ni kweli kabisa unachosema, mie mwanzoni sikujua kama matendo ya mumewe yamemsababisha huyu mwenzetu afikie mpaka kutumia madawa ya depression. Pamoja na hizi dawa ni za kusaidia yule mwenye msongo wa mawazo kuhusiana na jambo lolote lile katika maisha yake lililosababisha huo msongo wa mawazo, lakini pia zina side effects ambazo zinaweza kumsababisha mtumiaji asirudie tena hali yake aliyokuwa nayo kabla ya kuanza kuzitumia. Kwa kweli anatia huruma sana halafu mwenzie naona hata ajali jinsi matendo yake yanavyomuumiza mwenzie.

Unajua inauma sana kuona jamii yetu haibadiliki sijui kwanini. Kuna maneno ya kutiana moyo kama vile ndoa ndoano, vumilia au ndoa ndivyo zilivyo kitu ambacho si kweli ndoa haziko hivyo. Ziko ndoa nyingi tu watu wanaheshimiana na kuthaminiana na tena neno kukosa uaminifu halipo miongoni mwao. Unajua ni kama mtu anaeishi karibu na vilabu vya pombe au sehemu wanazopika pombe . Huyo ukimuuliza jamii yetu ikoje atakuambia watu wote walevi kumbe si kweli ni kwasababu yeye mlevi ndio maana anaona aonavyo.

Matokeo ya hii mitazamo ni mmoja wa wanandoa anaishi jela huku huyu mwingine anatanua kwa kigezo cha udhaifu. So namuonea huruma bidada
 
Duh aiseee unaweza kudhani mahusiano yako yana matatizo kumbe cha mtoto, pole sana inahuzunishaa
 
sala zAko ndo mkombozi wako
jiulize huyo mtu mzima ovyooo
kajiamini nini mpaka kakufata kukupa live?
je km ni muong?picha zipo hata za kuunganishA!
usikurupuke anza uspy taratibu
ukweli utaujua
mi mwenzio (natoa ushuhuda )niliona mme wangu hana uhuru na simu yake ikipgwa silence tena saa 6 usiku sikuuliza nikasubir kalala nikachuku a simu nkakuta 7misd call,3dialled calls,4 ricvd calls za mtu mmoja
nikachukua namba asubuh kaondoka nkapiga mdada kapokea nkauliza unamjua fulani akasema simju nkamwambia sasa umjue usimjue huyo mtu ana mke na ana watoto na mi ndo mkewe siondoki leo walA kesho
dada akaanza kujishauashaua pale nsamehe mi kaniAmbia hana mke il sijatembea nae
nkamwambia mi sjui mtembee mruke ujumbe umeupata tena mwambie mkeo kanipigia
akaomba msamaha
AM SORY STORY NDEFU ila nataka nkwambie km ni kweli huyo mmama anatoka nae
hao ndo wanaume na ktk dunia hii UKITAKA MKAMILIFU MUUMBE MWENYEWE

Jamani nyie mumeo alivyokuja akasemaje...

Hii thread inaniskitisha
 
Jamani nyie mumeo alivyokuja akasemaje...

Hii thread inaniskitisha

asemeje tena
yule mdada alinipgia kujikosha nshampa vipande vyake mi nkamwambia sawa maana mi nilisafiri km miezi kadhaa hv
mme wangu amerudi mpole na sikumuuliza chochote
anajichekesha tu mpaka aliponiuliza yeye
nkamwambia "we hangaika na dunia uone itakachokufanya"
ninemdharau tu mm mana kuondoka miezi mitatu tu tayari
 
Nawasabahi wanaMMU.


Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima.

Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka kujua zaidi kuhusu mume wako nitafute. Basi Jumatatu, akanipigia tena na nilikuwa nasita kuonana naye, basi akaanza kuniambia wewe hauko serious.

Basi kama wazungu wanavyosema - Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back.

Imagine kumeet na mtu haumfahamu then mawazo ya tindikali na mambo mengi yakanijia kichwani, nikaanza safari kuonana naye huku nasali novena takatifu.

Well sikuamini nilipokutana naye - ni mama mtu mzima na age diff kama 18 - 20 years. Basi nikampa heshima na kukaa, nikamuuliza mama ishu ni nini na ana mahusiano gani na mume wangu (nikidhania ni biashara) Aisee, mapigo ya moyo yalisimama sekunde kadhaa aliponiambia wanamahusiano ya kimapenzi.

Na aliponiona kama nashangaa as in seriously, akaniambia nijuwe na yeye pia ana hamu na hajakuwa na mwanamume 4 years baada ya ndoa yake ya miaka 28 kuvunjika.

Akanitolea na picha kabisa na roho inamuuma kweli kuhusu mume wangu na anajitetea hakumwambia ana mke na watoto.


To cut a long story short, wamekuwa na mahusiano miezi 3 na anavyoongea alikuwa ameambiwa mahusiano yaishe lakini she was not happy na inamuuma sana. Mwisho akaniambia mi ndoa ya 28 years imevunjika sembuse ww wa miaka michache.

Basi angesubiri na mimi nifikishe hiyo 28 na ndo amshambulie huyu kiumbe dhaifu. I am so angry, not for me only but for all those men who cheat on good women na wanawake ambao wanavunja ndoa za watu kwa ajili hawana self control au basi watafute wa rika yao.


There are some battles worth fighting but this one am throwing in my towel. Hivi mtu akikuambia ni shetani - seriously miezi 3 ni yeye tu shetani anamwandama?

Kuna mambo magumu napitia wakati huu, everything is looking down but this put the last nail on my coffin.


Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?

So u r a diamond??
 
Nina uhakika maana kanionesha picha ya mume wangu, Rafiki wa mume wangu alikiri na yeye mwenyewe nilimuuliza kama anamfahamu (majina yake niliyapata kupitia namba yake ya simu), na akajibu ni changudoa - baadae akakubali na kusema ni shetani. Huyo mama alitaka nijue alivyoniumiza na alitaka nimuache. Alimpigia hata mama mkwe simu na vitisho...Yaani sijapata drama aina hii maishani, na anajua very deep personal things about me.

Story yako ni touchy aloo natamani ningekuwa na mke Kama wewe aisee,you have impressed me siku dhani wanawake waaminifu Kama wewe bado wapo
Ila take heart najua una Moyo wa huruma na kusamehe
I am deeply sorry
 
Kwa nn mme wako alienda nje ya ndoa?Rekebisha kasoro hizo then msamehe mmeo maana mpinzani wako hayupo tena na mmeo!

Acheni mambo haya yenu ya kizungu ya kumpimia mme round za kitandani bana!
 
Hivi unajua depression can be suicidal? I cant imagine mapenzi yanifanye nipate clinical depression (something that a milkshake and a pizza, a gym workout, or a movie cant cure???). Hizo venereal diseases unaweza kupata hata wewe ambae unakuwa cheated ila unakuwa hujagundua bado. Angeweza kuipata from that first month ya affair? Na ofcoz matibabu ya venereal diseases na hiv ni marahisi if you ask me (im worried more abt hypertension and diabetes)

clinical depression??? nitakimbia hata nchi aisee
Vipi venereal diseases? Hiyo siyo concern?

Au mpaka mtu aanze kutoa usaha kwenye papuchi ndo ajue kwamba 'ahaaa'......kumbe nipo hatarini?
 
Huwezi kumake excuses kwa ajili ya mwenza anaekucheat. NEVER! Na wewe mkeo akikucheat unajirekebisha ili aache? Once a cheater, always a cheater. Huyu dada mie nimesita kumshauri kwa sababu it seems kuwa mumewe anamdepress kwa muda sasa. Mwisho wa siku inabidi aamue anaishije na anaishi na nani.
Kwa nn mme wako alienda nje ya ndoa?Rekebisha kasoro hizo then msamehe mmeo maana mpinzani wako hayupo tena na mmeo!

Acheni mambo haya yenu ya kizungu ya kumpimia mme round za kitandani bana!
 
Huwezi kumake excuses kwa ajili ya mwenza anaekucheat. NEVER! Na wewe mkeo akikucheat unajirekebisha ili aache? Once a cheater, always a cheater. Huyu dada mie nimesita kumshauri kwa sababu it seems kuwa mumewe anamdepress kwa muda sasa. Mwisho wa siku inabidi aamue anaishije na anaishi na nani.

kama mke wangu anaomba unyumba lkn mm kila saa nipo bize eti kusaka mahela then aki cheat yaa nitajirekebisha King'asti!

Juzi hapa nimesuluhisha bila mafanikio mzozo wa ndoa ya rafiki yangu!Mke anadai eti yupo bize sana kazini so sex ni weekends tu tena kabao kamoja!

Sasa hapo mme akienda nje huyu mke atamlaumu nani?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli unapopata habari kama hiyo lazima ikuume!!!
kuna hii formula huwa naifataga sana na nahisi inanisaidia kama upo tayari na wewe ifate tangu nimeanza kutumia sijagombana na mpenzi wangu ng'ooo!!!!
1.nikikatiwa simu nasema labda yupo sehemu mbaya nitamcheki baadae!!!
2.kama asipopokea simu nasema labda yupo mbali na simu ngoja nimcheki tena baadae!!!
3.akichelewa kurudi nasema labda kazi zilikuwa nyingi leo + foleni za daladala!!!
4.akipanic nasema labda hayupo sawa ngoja nimwache kidogo!!
5.nikiletewa taarifa ana mchepuko nasema wao wabaya nia yao nini hasa ngoja nipotezeee!!!

sikubaliani na njia hii, ipo siku utalipuka deal na waswas wako. Asipopokea simu muulize bila hasira ilikuwaje kama umepata waswas moyoni na njia zake muulize! Ukipata habar ikakuuma roho usijitie moyo chunguza au uliza simple and clear huyo ni nani? Bhaasi
 
Pole sana, uamuzi unao mwenyewe uchague unataka kuishi vipi! Huyo ni mwanaume abuser , anajua atalia utamsamehe hajali maana ni rahisi kwake hajawahi kulipwa kwa mabaya yake. Mama yake yupo anamuombea msamha anahitaji ku act ametubu unamsamehe! Spoiled child! Hana ajifunzalo atakuumiza hadi uwe mentaly disturbed au ufe . Raha unajipa mwenyewe, jipe raha!
 
Pole sana Theodora, unapitia wkt mgumu kwa sasa ambao haulezeki, fanya maamuzi yaliyo sahihi ambayo hutayajutia kamwe!
 
Last edited by a moderator:
I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...

Do as u wish my dear
 
#Theo , unayoona au kudhani ni dhahabu haiwi kweli kwa kila mtu. Mmeo mpaka kutoka nje kuna 7bu. If you care, tafiti kisha tenda kurekebisha.

Hapo sikubaliani na wewe kabisa

kama huyo mwanaume kaona kuna sababu kwa nini asimwambie mkewe kuwa kuna mapungufu haya na haya

Mpaka mwanamke aanze kuhisi labda hiki ama kile

kwa nini lakini?????????????????
 
Back
Top Bottom