Simu iliyobadilisha maisha yangu

Simu iliyobadilisha maisha yangu

Pole sana! Kila jaribu lina mlango wa kutokea,hilo ni jaribu litapita kama utamtumainia Mungu! Hali kama hii ilimkuta rafiki yangu ila kwa uwezo wa Mungu ndoa yake imekuwa imara more than ever! Samehe then timiza wajibu wako kama kawaida,na muombe sana Mungu.
Kuachana sio suluhisho kwani,hakuna mkamilifu, na tatizo halikimbiwi bali hutafutiawa ufumbuzi.
 
jaribu kujichunguza wewe na usiwe bias ... yawezekana na wewe huna shida.... men are selfish and are like beberu my dear ukimwacha huyo ujue utakutana na shwatwin mkubwa zaidi...
 
Na mimi nilitaka nimuulize hivyo hivyo, ingekuwa ni yeye ndo amegundua mkewe kafanya hayo angesamehe? kwa kweli tunatofautiana mioyo
Mimi ningemsamehe kwa kweli, nasema ukweli kabisaaaaa. Kwasababu inawezekana na mimi pia si mwaminifu. Nitasamehe japo najua itakua ngumu kusahau.

CC: Nyani Ngabu na BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi ningemsamehe kwa kweli, nasema ukweli kabisaaaaa. Kwasababu inawezekana na mimi pia si mwaminifu. Nitasamehe japo najua itakua ngumu kusahau.

CC: Nyani Ngabu na BAK

Kusamehe na kuachana naye na kusamehe na kuendelea naye ni mambo mawili tofauti kabisa.

Sasa wewe lako ni lipo hapo?
 
ni kweli unapopata habari kama hiyo lazima ikuume!!!
kuna hii formula huwa naifataga sana na nahisi inanisaidia kama upo tayari na wewe ifate tangu nimeanza kutumia sijagombana na mpenzi wangu ng'ooo!!!!
1.nikikatiwa simu nasema labda yupo sehemu mbaya nitamcheki baadae!!!
2.kama asipopokea simu nasema labda yupo mbali na simu ngoja nimcheki tena baadae!!!
3.akichelewa kurudi nasema labda kazi zilikuwa nyingi leo + foleni za daladala!!!
4.akipanic nasema labda hayupo sawa ngoja nimwache kidogo!!
5.nikiletewa taarifa ana mchepuko nasema wao wabaya nia yao nini hasa ngoja nipotezeee!!!

Ni kweli japo inahitaj subra kuish hivyo
 
Really BAK?

Yaani unataka amsamehe halafu aendelee kuishi na huyo mume mzinzi?

Wewe ukigundua mkeo anamegwa na mtu mwingine utamsamehe tu na kuendelea na maisha yeu?

Kama ni hivyo kweli watu mna moyo!

Tatizo la mahusiano, most of the time they work the other way round....Kwa hili kumtokea mwanamke, mwanamke atasamehe, lakini lingekuwa the other way round, mwanamke angetimuliwa fasta (sitetei uzinzi, lakini mara nyingi matokeo ni haya).

Kipengele cha huyo bi mkubwa kuwa na nia ya kuharibu, nami nakubaliana nacho. Ila hapo kwenye kusameheana inakuwa ni issue ya papo kwa papo, naweza sema leo kuwa nitasamehe, lakini likinifika mlangoni nikawa na maamuzi tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi ningemsamehe kwa kweli, nasema ukweli kabisaaaaa. Kwasababu inawezekana na mimi pia si mwaminifu. Nitasamehe japo najua itakua ngumu kusahau.

CC: Nyani Ngabu na BAK

kama na wewe unahisi sio muaminifu ofcoz ni lazma utasamehe lakini kama unajijua uko committed kwa kwake tu toka mmeanza mpaka leo alafu ugundue mwenzie anachepuka aisee haisemeheki
 
Theodorasweetheart, the problem is, they want both...the diamond and the stones (regardless of whether they are polished or not).
 
Last edited by a moderator:
Hilo jimama lingekuwa linaweza shughuli lingeachwa ndani ya miezi mitatu...tena bila kufumaniwa?????? Nyie ndio mmekremu 'mwanamke mjinga uvunja ndoa yake mwenyewe' na kila mume akichiti mnamlaumu mkewe...!

Umeona eeh...yaani mwanamke tu ndio anatakiwa 'kujenga' ndoa, ili hali upande wa pili mwanaume anaibomoa! Hawa watu sijui vipi hawa...Yaani mwanaume anafanya anachofanya, mwanamke analaumiwa...eti jiulize nini hujamfanyia ndio maana akachiti...shaaa...

Mawazo yao kuwa mwanamke ameumbwa na moyo wa chuma kama sio plastiki ngumu!
 
Mambo ya ndoa haya....hatari sana!!!

Ila swali kwa waliooa na kuolewa, je unadhani mtu uliyenaye ndiye mtu sahihi uliyeandikiwa na Maulana?

Haya maswali mengine magumu jamani...daah. Hata invigilator akija kukusanya karatasi baada ya saa moja anaweza akakuta hijaandikwa kitu...
 
LoL!!! Hili ni swali rahisi sana kulijibu tena unaondoka na flying colors (A+) vyovyote vile utakavyolijibu. Ligeuze swali liwe hivi. Baada ya kuishi na mumeo/mkeo kwa miaka (namba ya miaka) nakuyafahamu mema yake na mapungufu yake je leo hii kama mngekuwa bado hamjaoana na kwa jinsi unavyomfahamu sasa ungemuoa/kuolewa naye bila pingamizi lolote?

Haya maswali mengine magumu jamani...daah. Hata invigilator akija kukusanya karatasi baada ya saa moja anaweza akakuta hijaandikwa kitu...
 
jaribu kujichunguza wewe na usiwe bias ... yawezekana na wewe huna shida.... men are selfish and are like beberu my dear ukimwacha huyo ujue utakutana na shwatwin mkubwa zaidi...

I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...
 
Once bitten twice shy...

Kama ulishatumia dawa za depression for a year; maamuzi unayo mwenyewe...

Mi nilidhani ni first incidence...kumbe yawezekana ni serial cheater...

Na asije kuwa kamwacha huyo jiwe si sababu ya diamond ila sababu ya jiwe lingine...anatumia diamond kama excuse...'mke wangu kagundua'... kumbe anataka uhuru kuamisha majeshi kwa kimada mwingine...

I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...
 
I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...

mmmmhhhh!!&
huyo mtata!
mana wetu wahuni ilA huyo kazidi
afu m/mke akichoka amechoka kweeliii
mana tunaweza vumilia wengi wetu but
akisema its over.....!!!
anamaanisha!
 
Hmmmm!!! Pole sana.

I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...
 
Hii thread yako kitambo sasa napita nasoma na nashindwa cha kuandika. Ila hapa sasa nimepata pa kuanzia.
Tunaongelea usalama wako mwenyewe na wa watu waliokuzunguka. Hata kama una mapungufu, kuishi na mtu anaekupa clinical depression, na mwisho ndo kwanza anakucheat; inanipa wasiwasi. unaweza kwenda kwa washauri nasaha? Do something!

Back
Top Bottom