Mkuu BAK mbona unakwepesha?&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];Maybe, but I am not 100% sure.
We acha tu mkuuhawa wamama hawa nao……ni shida sana aisee
Na wAnawake mkiwekewa bible mtaruka??thubutu wote lazma muokote makopopole sana dadaa, huo ni mushkeli katika maisha ya ndoa.
kwanza kabisa mumeo anakupenda sana, ila jua sisi warume smtime tunafanya mambo ya kijinga, just out of adventure.
pili amegundua kosa lake na kukusudia kuliacha, ndo maana kamtangazia kumtema jimama.
hakuna mwanaume asiyecheat bhana asikudanganye mtu. nina manager wangu hapa kazini ni mtukutu sana. juzi tukiwa katika story ofisini ule muda wa lunch, wanaume kibao wanakujaga ofisini kwetu kustorisha. Ikaja mada kama hiyo, ni nani hajawahi cheat mpenz/mke wake. watu oooh mie bado na siwez, kelele kibao. manager akasema naweka biblia hapa mlangoni, ambaye hajawahi kucheat. na airuke apite. ha ha ha ha...., hakuna aliyeruka. chezeaaa.
mwisho kabisa, naomba mkae mezani na mmeo myazungumze. naamin utamsamehe ma maisha yataendelea.
Bora kufa mara 1 kuliko mara elf 1.ukiamua kumuacha utakufa mara 1 kifo cha kawAidA.ukiendelea nae utakufa mara elf maana utapata uchungu wa vifo elf.make ur choiceDunia inakwenda kasi sana! Nilishakataa utumwa fikra toka nilipojitambua Nyani Ngabu. Ukisoma maoni ya wengi utaona jinsi watu wanavyojaribu kumshawishi huyu Dada abaki kwenye ndoa ya mume mzinzi,hii ni hatari kweli! Msingi unaojengwa hapa ni kusingizia shetani na kwamba ategemee maombi ili kumfanya mzinzi aache uzinzi,dhana ya hovyo kabisaa! Ukweli hayupo shetani anayekuja kumshawishi mtu akazini bali ni mtu anaamua mwenyewe. Mungu alimpa akili mwanadamu km njia ya kujipunguzia kazi akiamini atatumia akili zake ktk kuamua mambo yake. Kukaa na mke au mume mzinzi ukitegemea maombi ni kumfanya Mungu kibarua wako na kwakweli ni vigumu sana kufanikiwa. Yaani ni km unaambiwa hii ni sumu usiinywe eti unasema Mungu yupo. Utakufa tu!
i love yuo toosala zAko ndo mkombozi wako
jiulize huyo mtu mzima ovyooo
kajiamini nini mpaka kakufata kukupa live?
je km ni muong?picha zipo hata za kuunganishA!
usikurupuke anza uspy taratibu
ukweli utaujua
mi mwenzio (natoa ushuhuda )niliona mme wangu hana uhuru na simu yake ikipgwa silence tena saa 6 usiku sikuuliza nikasubir kalala nikachuku a simu nkakuta 7misd call,3dialled calls,4 ricvd calls za mtu mmoja
nikachukua namba asubuh kaondoka nkapiga mdada kapokea nkauliza unamjua fulani akasema simju nkamwambia sasa umjue usimjue huyo mtu ana mke na ana watoto na mi ndo mkewe siondoki leo walA kesho
dada akaanza kujishauashaua pale nsamehe mi kaniAmbia hana mke il sijatembea nae
nkamwambia mi sjui mtembee mruke ujumbe umeupata tena mwambie mkeo kanipigia
akaomba msamaha
AM SORY STORY NDEFU ila nataka nkwambie km ni kweli huyo mmama anatoka nae
hao ndo wanaume na ktk dunia hii UKITAKA MKAMILIFU MUUMBE MWENYEWE
af we nyani humtakii mema huyu dada wa watuHuo ndo upuuzi wa watu dhaifu!
Eti akimuacha huyo ataacha wangapi? *** it!
Kwani lazima kuwa na mtu? Mimi hata wawe trilioni moja nitawaacha tu.
Mambo haya ni magumu sana kuyaelewa,..pole sana dada na Mwenyezi Mungu atakupa nguvu na kukuongoza juu ya busara ya jambo hiliNawasabahi wanaMMU.
Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima.
Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka kujua zaidi kuhusu mume wako nitafute. Basi Jumatatu, akanipigia tena na nilikuwa nasita kuonana naye, basi akaanza kuniambia wewe hauko serious.
Basi kama wazungu wanavyosema - Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back.
Imagine kumeet na mtu haumfahamu then mawazo ya tindikali na mambo mengi yakanijia kichwani, nikaanza safari kuonana naye huku nasali novena takatifu.
Well sikuamini nilipokutana naye - ni mama mtu mzima na age diff kama 18 - 20 years. Basi nikampa heshima na kukaa, nikamuuliza mama ishu ni nini na ana mahusiano gani na mume wangu (nikidhania ni biashara) Aisee, mapigo ya moyo yalisimama sekunde kadhaa aliponiambia wanamahusiano ya kimapenzi.
Na aliponiona kama nashangaa as in seriously, akaniambia nijuwe na yeye pia ana hamu na hajakuwa na mwanamume 4 years baada ya ndoa yake ya miaka 28 kuvunjika.
Akanitolea na picha kabisa na roho inamuuma kweli kuhusu mume wangu na anajitetea hakumwambia ana mke na watoto.
To cut a long story short, wamekuwa na mahusiano miezi 3 na anavyoongea alikuwa ameambiwa mahusiano yaishe lakini she was not happy na inamuuma sana. Mwisho akaniambia mi ndoa ya 28 years imevunjika sembuse ww wa miaka michache.
Basi angesubiri na mimi nifikishe hiyo 28 na ndo amshambulie huyu kiumbe dhaifu. I am so angry, not for me only but for all those men who cheat on good women na wanawake ambao wanavunja ndoa za watu kwa ajili hawana self control au basi watafute wa rika yao.
There are some battles worth fighting but this one am throwing in my towel. Hivi mtu akikuambia ni shetani - seriously miezi 3 ni yeye tu shetani anamwandama?
Kuna mambo magumu napitia wakati huu, everything is looking down but this put the last nail on my coffin.
Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?
Huu uzi wa miaka miwili sasa ingekuwa vizuri angetupa mrejesho wa hali ilivyo na alifanyaje.Mambo haya ni magumu sana kuyaelewa,..pole sana dada na Mwenyezi Mungu atakupa nguvu na kukuongoza juu ya busara ya jambo hili
Nawasabahi wanaMMU.
Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima.
Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka kujua zaidi kuhusu mume wako nitafute. Basi Jumatatu, akanipigia tena na nilikuwa nasita kuonana naye, basi akaanza kuniambia wewe hauko serious.
Basi kama wazungu wanavyosema - Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back.
Imagine kumeet na mtu haumfahamu then mawazo ya tindikali na mambo mengi yakanijia kichwani, nikaanza safari kuonana naye huku nasali novena takatifu.
Well sikuamini nilipokutana naye - ni mama mtu mzima na age diff kama 18 - 20 years. Basi nikampa heshima na kukaa, nikamuuliza mama ishu ni nini na ana mahusiano gani na mume wangu (nikidhania ni biashara) Aisee, mapigo ya moyo yalisimama sekunde kadhaa aliponiambia wanamahusiano ya kimapenzi.
Na aliponiona kama nashangaa as in seriously, akaniambia nijuwe na yeye pia ana hamu na hajakuwa na mwanamume 4 years baada ya ndoa yake ya miaka 28 kuvunjika.
Akanitolea na picha kabisa na roho inamuuma kweli kuhusu mume wangu na anajitetea hakumwambia ana mke na watoto.
To cut a long story short, wamekuwa na mahusiano miezi 3 na anavyoongea alikuwa ameambiwa mahusiano yaishe lakini she was not happy na inamuuma sana. Mwisho akaniambia mi ndoa ya 28 years imevunjika sembuse ww wa miaka michache.
Basi angesubiri na mimi nifikishe hiyo 28 na ndo amshambulie huyu kiumbe dhaifu. I am so angry, not for me only but for all those men who cheat on good women na wanawake ambao wanavunja ndoa za watu kwa ajili hawana self control au basi watafute wa rika yao.
There are some battles worth fighting but this one am throwing in my towel. Hivi mtu akikuambia ni shetani - seriously miezi 3 ni yeye tu shetani anamwandama?
Kuna mambo magumu napitia wakati huu, everything is looking down but this put the last nail on my coffin.
Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?
Word!!!Pole sana dada, inauma lakini usivunjike moyo, kuna maisha ya ndoa baada ya hilo lililotokea, msamehe kisha kaza buti songa mbele, Chukua mfano wa gauni zuri sana say la harusi, wakati unapasi kwa pasi la mkaa bahati mbaya kipande cha mkaa kikadondokea na kuchoma kisha kuacha katundu kadogo, gauni lote ni zima ila katundu tu, je utstupa gauni lako? Jibu ni hapana, unaweka kiraka kidogo kwa fundi mtaalam kisha unaendelea kuvaa na kwenda harusini na kamwe hakuna atakayeona hicho kiraka, labda uwaoneshe au wakae karbu sana na kuchunguza kwa makini, which is rare na haina impakt kwako, kuwa cheated inauma sana ila quting unaonesha udhaifu, just kneel down pray for his forgivenes, then raise up look forwad and move on. Its just another phase with a lesson learnt.
All the best