Huo ndo upuuzi wa watu dhaifu!
Eti akimuacha huyo ataacha wangapi? *** it!
Kwani lazima kuwa na mtu? Mimi hata wawe trilioni moja nitawaacha tu.
Kifikra na utendaji tupo tofauti ubarikiwe kwa moyo huo
Mambo ya ndoa haya....hatari sana!!!
Ila swali kwa waliooa na kuolewa, je unadhani mtu uliyenaye ndiye mtu sahihi uliyeandikiwa na Maulana?
Naam, tupo tofauti sana kwani sina moyo legelege mimi.
Na huo utofauti wa misimamo ndio unatufantofautisha kati ya mtu na mtu. Kuna mtu kaweka misimamo yake uki chepuka nikakukamata hapo ndio mwisho wa kila kitu, haimaanishi anafurahia huo uamuzi ila kutii msimamo wake itampa amani kuliko kubaki na kitu kitakacho msumbua maishani.Naam, tupo tofauti sana kwani sina moyo legelege mimi.
Really BAK?
Yaani unataka amsamehe halafu aendelee kuishi na huyo mume mzinzi?
Wewe ukigundua mkeo anamegwa na mtu mwingine utamsamehe tu na kuendelea na maisha yeu?
Kama ni hivyo kweli watu mna moyo!
Sio moyo legelege sema mungu wengine katujalia mioyo ya kusamehe kwa haraka na wengine hawasamei kabisa.kila mmoja ananamna ya tofauti ya kukabiliana na changamoto.
Misimamo yako ni mizuri sana japo nahisi inatokana na umri wako labda ni mdogo, kwa vyovyote uwamuzi wa kusamehe ndio mzuri kuliko maamuzi yoyot yale, na akisamehe yeye ndio mshindi maana huyo mama nia yake ni kuvunja ndoa ya mwenzake.
Nimekupendaje weye!!! Hongera sana kwa msimamo wako madhubuti.
Nawasabahi wanaMMU.
Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima. Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka kujua zaidi kuhusu mume wako nitafute. Basi Jumatatu, akanipigia tena na nilikuwa nasita kuonana naye, basi akaanza kuniambia wewe hauko serious. Basi kama wazungu wanavyosema - Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back.
Imagine kumeet na mtu haumfahamu then mawazo ya tindikali na mambo mengi yakanijia kichwani, nikaanza safari kuonana naye huku nasali novena takatifu. Well sikuamini nilipokutana naye - ni mama mtu mzima na age diff kama 18 - 20 years. Basi nikampa heshima na kukaa, nikamuuliza mama ishu ni nini na ana mahusiano gani na mume wangu (nikidhania ni biashara) Aisee, mapigo ya moyo yalisimama sekunde kadhaa aliponiambia wanamahusiano ya kimapenzi. Na aliponiona kama nashangaa as in seriously...Akaniambia nijuwe na yeye pia ana hamu na hajakuwa na mwanamume 4 years baada ya ndoa yake ya miaka 28 kuvunjika! Akanitolea na picha kabisa na roho inamuuma kweli kuhusu mume wangu na anajitetea hakumwambia ana mke na watoto.
To cut a long story short, wamekuwa na mahusiano miezi 3 na anavyoongea alikuwa ameambiwa mahusiano yaishe lakini she was not happy na inamuuma sana. Mwisho akaniambia mi ndoa ya 28 years imevunjika sembuse ww wa miaka michache. Basi angesubiri na mimi nifikishe hiyo 28 na ndo amshambulie huyu kiumbe dhaifu. I am so angry, not for me only but for all those men who cheat on good women na wanawake ambao wanavunja ndoa za watu kwa ajili hawana self control au basi watafute wa rika yao.
There are some battles worth fighting but this one am throwing in my towel. Hivi mtu akikuambia ni shetani - seriously miezi 3 ni yeye tu shetani anamwandama? Kuna mambo magumu napitia wakati huu, everything is looking down but this put the last nail on my coffin.
Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?
Hahahaaa leo nahisiwa kuwa na umri mdogo! Maajabu ya mwaka haya.
Nikirudi kwenye mada, mtu unaweza ukamsamehe aliyekuchiti lakini bado ukamwacha vilevile.
Kusamehe haina maana ndo muendelee na ndoa au uhusiano wenu.
ilibidi nifanye hvyo maana hata nikiondoka sio solution ktk hii dunia asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe kwa mwenzie
ndoa zina mtihani sana na sijamwambia mtu yeyote
mAana ndugu zangu nawajua[/B
Hapa watu wengi huwa ndo wanajichanganya [USER=12371]Nyani[/USER] @Ngabu.wengi wanaamini kusamehe lazima ubaki kwenye ndoa. Hili ni tatizo sana,me ntakueleza tangu nakuoa kuwa fanya matendo yote ntakusamehe lkn usigongwe nje. Ukigongwa nje na nikathibitisha itakuwa mwisho wetu! Akikiuka hiyo kanuni sitauliza mtu kuhusu kumuacha na ntamsamehe kwa udhaifu wake ili me maisha yaendelee.Hahahaaa leo nahisiwa kuwa na umri mdogo! Maajabu ya mwaka haya.
Nikirudi kwenye mada, mtu unaweza ukamsamehe aliyekuchiti lakini bado ukamwacha vilevile.
Kusamehe haina maana ndo muendelee na ndoa au uhusiano wenu.
Yes......