ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Kwahiyo ulichapiwaaa jiangalie tenaaa ukija kwangu nako watakuchapi maana wewe si mbunifu kuwa kama chupa ya chai utakufa kwa pressure
Nawasabahi wanaMMU.
Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia sauti ya mwanamke, na kwa sauti ni mtu mzima.
Aliongea mengi na mwisho akaniambia kama unataka kujua zaidi kuhusu mume wako nitafute. Basi Jumatatu, akanipigia tena na nilikuwa nasita kuonana naye, basi akaanza kuniambia wewe hauko serious.
Basi kama wazungu wanavyosema - Curiosity killed the cat, but satisfaction brought it back.
Imagine kumeet na mtu haumfahamu then mawazo ya tindikali na mambo mengi yakanijia kichwani, nikaanza safari kuonana naye huku nasali novena takatifu.
Well sikuamini nilipokutana naye - ni mama mtu mzima na age diff kama 18 - 20 years. Basi nikampa heshima na kukaa, nikamuuliza mama ishu ni nini na ana mahusiano gani na mume wangu (nikidhania ni biashara) Aisee, mapigo ya moyo yalisimama sekunde kadhaa aliponiambia wanamahusiano ya kimapenzi.
Na aliponiona kama nashangaa as in seriously, akaniambia nijuwe na yeye pia ana hamu na hajakuwa na mwanamume 4 years baada ya ndoa yake ya miaka 28 kuvunjika.
Akanitolea na picha kabisa na roho inamuuma kweli kuhusu mume wangu na anajitetea hakumwambia ana mke na watoto.
To cut a long story short, wamekuwa na mahusiano miezi 3 na anavyoongea alikuwa ameambiwa mahusiano yaishe lakini she was not happy na inamuuma sana. Mwisho akaniambia mi ndoa ya 28 years imevunjika sembuse ww wa miaka michache.
Basi angesubiri na mimi nifikishe hiyo 28 na ndo amshambulie huyu kiumbe dhaifu. I am so angry, not for me only but for all those men who cheat on good women na wanawake ambao wanavunja ndoa za watu kwa ajili hawana self control au basi watafute wa rika yao.
There are some battles worth fighting but this one am throwing in my towel. Hivi mtu akikuambia ni shetani - seriously miezi 3 ni yeye tu shetani anamwandama?
Kuna mambo magumu napitia wakati huu, everything is looking down but this put the last nail on my coffin.
Swali - Why would a man take the risk of losing a diamond to pick stones?
Majanga haya
KabisaaaaaaPole sana kwa yaliyokukuta lakini hakuna sababu yoyote ya kufanya maamuzi ya haraka ili kuivunja ndoa. Huyu mama anataka kuvunja ndoa yako kwa mategemeo kwamba mumeo atabaki naye yeye vinginevyo sioni sababu ya yeye kukutafuta ili akwambie mapungufu ya mume wako. Mume wako baada ya kumwambia penzi lao la miezi mitatu limefikia ukingoni akaamua amkomoe ili aharibu ndoa yenu.
Kuwa na subira na uwe na tayari kumsamehe mumeo hasa kama anaona amekukosea kwa aliyoyafanya katika hiyo miezi mitatu. Huyo mama asingeambiwa penzi la miezi mitatu limefikia ukingoni wala asingehangaika kukutafuta hata kwa sekunde moja. Pole sana.
Zinanikumbusha mbali sanahii ni sredi ya nne kama sikosei mkuu unaipakua tokea hukoooooooo enzi ziileeeeeeeeeeeee hahahah sifa kwako mkuu na karibia kote una comment za aina hii
Funguka wapwa wakusaidie mkuu
Hujambo my EliiiiNdoa ikishaingia mdudu wa kukosa uaminifu, kwangu imekufa. Sihitaji mshauri nasaha kuniambia ndoa iende vipi, naomba huyo mdudu aende mbali kabisa coz for me it will mean divorce. Sitavumilia kuishi na mzinzi, naithamini sana afya yangu.
Nimependa msimamo wako na inatakiwa iwe hivyoNdoa ikishaingia mdudu wa kukosa uaminifu, kwangu imekufa. Sihitaji mshauri nasaha kuniambia ndoa iende vipi, naomba huyo mdudu aende mbali kabisa coz for me it will mean divorce. Sitavumilia kuishi na mzinzi, naithamini sana afya yangu.
KOKUTONA long time sana, umepotelea wapi kipenzi?Hujambo my Eliiii
Japo thread nimeisoma jujuu nimevutiwa na majibu yako. It seems mwanamke ndo amecheat. Suppose ingekuwa wewe ndo umepunguza uaminifu ndani ya ndoa kwa so called uzinzii will you let her go?
Ila nimekumiss
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app