nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Ntaku PM ushauri wangu...maana sipendi kuongelea past experiences tena hasa humu JF MMU,,, maana sijui nani na nani wanasoma; na tatizo langu siwezi sema uongo ...nisije reveal too much info...
Lakini kuujua ukweli ni vizuri...kuliko hao wanao sema ni heri kuishi kwa assumptions (matumaini)...
At least umejua miezi mitatu...imagine ungejua baada ya miaka 4????? Una chance ya kuamua ku fight au ku give up...it's not too late (yet)