msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,569
- 6,765
Huyu kashashindwa kutumia akili yake ipasavyo wacha ulimwengu umfunze ana leta utoto kwenye NDOA au alijua NDOA ni kama kuingia disco na kutoka hahhahaSio kila wakati ni kuufwata moyo kuna muda moyo ni kigeugeu mala nyingi follow your heart but don't forget to include your brain in that journey of following your heart