Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Sio kila wakati ni kuufwata moyo kuna muda moyo ni kigeugeu mala nyingi follow your heart but don't forget to include your brain in that journey of following your heart
Huyu kashashindwa kutumia akili yake ipasavyo wacha ulimwengu umfunze ana leta utoto kwenye NDOA au alijua NDOA ni kama kuingia disco na kutoka hahhaha
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lkn nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mm naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwann niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasabb hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lkn inimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Kumbe uliolewa kwa tamaa zako vumilia tu cause ulichagua njia uliyoipenda.....
 
Hongera. Hapo umeshahitimu kuwa KAHABA
 
Wewe utakuwa na mimba, ngoja tuone ukijifungua kama hautaleta Uzi wa mahaba motomoto ya kumpenda mumeo
 
Unachokitafuta utakipata, ndio umeshaolewa hakuna atakaye kuoa kwa moyo mmoja kama huyo ulienae sasa na uking'ang'ania kuachwa utashangaa atakaye kuoa hamtadumu, na hutaweza kurudi ulikochafua kambi ndio utajua hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie jitathimini mara kumi kumi hilo ni jaribu katika ndoa liepuke kwani utajikuta ni wa kuolewa na kuachwa endapo utatoka katika ndoa hiyo chezea ndoa wewe!!! Utajikuta malaya mzazi wa mtaani
 
Hi mada ngumu..ngoja niamke nifanya ab workouts...maana kitambi changu kinanisosesha Raha.
Mkuu nikushauri. Unafanya jambo jema kufanya mazoezi ila kwa issue ya kitambi ungefanya mazoezi ya kupunguza mafuta then ndio ufanye Abs Workout. Kwasababu kitambi ni mafuta kwa iyo unaweza ukafanya Abs ukawa unaishia kupata maumivu tu lakini matokeo usiyaone.

Back To The Topic. Pitia threads za mleta mada hutaumia kichwa.
 
.
IMG_20200929_062015.jpg
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lkn nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mm naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwann niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasabb hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lkn inimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Namuonea huruma sana mshikaji alokuoa
 
Sometimes love is not all about money but feelings that comes inside your heart so hapo umebugi mwenyewe na ushauri mzuri kwako its you to change your mindset. Kaa na mumeo chin then mwambie ukweli kutoka moyoni then wenda akakupa nafasi ya ww kusepa but bora ukafanya maamuzi mapema kuepuka lawama baadae.
Mnaambiwa oaneni kwa kupendana sio kwa kuhurumiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom