The standard approach is BODMAS so the right answer is 6.
MAGAZIJUTO.
Mabano
Gawanya
Zidisha
Jumlisha
Toa
Order of Operations - BODMAS
Apparently MAGAZIJUTO may be misleading.
Hapa ndipo unapoona kuwa Kiswahili sio kizuri kwa kufundishia kwani direct translation ya BODMAS sio MAGAZIJUTO kwa sababu BODMAS ile O ni 'order' yaani insema fuata order ya DMAS wakati MAGAZIJUTO haimkumbushi mwanafunzi kufuata order kwa kuweka neno order. Nafikiri kwa kiswahili ilitakiwa kuwa MAMGAZIJUTO yaani mabano mpangilio gawanya zidisha jumlisha toa
3+3x3-3+3=?
3+(3x3)-3+3
(3+9)-3+3
12-3+3
(12+3)-3
15-3
=12 vipi mkuu nimepata! darasa la saba nimejaribu.
hapo ngumu sababu huwezi kuiwekea braket hizo na kuiacha -ve nje, na pia huwezi kuiacha braket kwenye times....
Halafu kitu kingine, gawanya na zidisha zina nguvu sawa, ukisoma MAGAZIJUTO unaweza kufikiri gawanya inatakiwa kuanza kabla ya zidisha.
Same thing for jumlisha na toa.
Hii ndiyo inasababisha majibu tofauti ya 6 na 12.
Umekosa kwani wakati unafungia 9 na 3 ilitakiwa pia 3 na 3 zifungiwe pamoja kwani zina operation ya namna moja!
KWA HIYO NI HIVI.
3+3x3-3+3
3+(3x3)-(3+3)
3+9-6
12-6
6.
Kwa hiyo njia ni muhimu kuwa stated. Kama ni hivyo yaani lazima kuonyesha njia basi hesabu haitakiwi kuwa na multiple choice.
Ha ha ha ha ha ha ha ha Mwanamayu acha uongo.
3+3x3(-3+3) nakuomba hizo namba kwenye mabano ziweke ziaze pale mwazoni kwa hiyo
itakuwa -3+3+3+3x3
kwa hiyo itakuwa
-3+6+9
-3+15
=12.
Ulichokosea ni pale ulipo chukua
-3+3 = -6badala ya
-3+3=0. rudia tena
Rule gani ya hesabu umetumia kuzipangua hizo namba kwenye hiyo equation?!
haki ya Mungu hesabu ni ugonjwa, watu wanakosea hafu wanakua wabishi, labda tuanze kwa kuulizana taaluma zet, kuna watu waliacha hesabu kidato cha pili lakini wanatusumbua kwa majibu yao ya uongo
me taaluma yangu ni hesabu hivyo jibu langu naungana na Shy land na wengine walopata 12, jibu ni B, 12.., ukibisha we hujui hesabu na ni mbishi
au ukiona vipi chukua kikotoo weka kama ilivyo usiongeze mabano maake utabadili swali, wengi wamekosea kwa kujiwekea mabano sehemu ambayo siyo sahini