This is deep, man!Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?
Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?
Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi naona,hakuna kitu tutaacha kuonaHizi Quarantine Tutaona Mengi[emoji23][emoji23]
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Sent using Jamii Forums mobile app
kisa niniKwahiyo nizikate.?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Papuchi tu!![emoji13][emoji23][emoji1787]
Mwanaume asiye na ndevu asubuhi akiosha uso ni sawa na kama mtu anaosha embe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]unakuta mwanaume hana ndevu hana nywel kifuan Sasa tofaut yake na skonzi ni nini mwanaume ndevu hata kama ni chache
Zinasababisha kulowa?Ndrevu sunna
Maana znasaidia kuleta nanii hata kabla ya nanii haijaamua kuanza ku nanii
Ah sio lazima niandike vyote.
Kulowa nnZinasababisha kulowa?
Hata mimi lazima nihakikishe umezoa zote. Nadhani tatizo ni kutokujua matumizi ya hizo ndevu waulize wenzio wakueleze!Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Et nitawauliza basiHata mimi lazima nihakikishe umezoa zote. Nadhani tatizo ni kutokujua matumizi ya hizo ndevu waulize wenzio wakueleze!
Sent using Jamii Forums mobile app
boss kunywa pepsi big nitalipa jibu mujarabaaaSa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?
Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?
Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu